S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Jul 1, 2015 #2 Watu wazima wakipita hapo,wanajifanya wanaongea na simu.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,042 Reaction score 22,592 Jul 1, 2015 #3 Ni mwanzo mzuri kama ataendelea kupata malezi mazuri ktk ukuaji wake
Farha Senior Member Joined Aug 22, 2014 Posts 173 Reaction score 81 Jul 1, 2015 #4 Safiii hiyo, nyota njema.....
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,802 Reaction score 4,908 Jul 1, 2015 #5 hizo yebo yebo za dogo janja...!!
sonnita JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,787 Reaction score 1,920 Jul 2, 2015 #6 Trimmer said: hizo yebo yebo za dogo janja...!! Click to expand... Hahhhahahaha. Lifti tosha
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Jul 2, 2015 #7 mtoto wangu akija kuwa na moyo kama huo nitashukuru sana
iron woman Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 147 Reaction score 19 Jul 2, 2015 #8 safi sana nimempenda
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Jul 2, 2015 #9 Mtoto mwema mwenye roho nzuri akue vizuri
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 3, 2015 #10 Sangomwile said: Watu wazima wakipita hapo,wanajifanya wanaongea na simu. Click to expand... Hahahaahaaaaa kama nawaona vile!
Sangomwile said: Watu wazima wakipita hapo,wanajifanya wanaongea na simu. Click to expand... Hahahaahaaaaa kama nawaona vile!