Jana baada ya kusikia taarifa za kukamatwa kwa jambazi eti aliyekwenda kutubu kwa Mch Gwajima kuwa ndiye mhusika wa kumteka na kumtesa Dr Ulimboka, niliamua kurudi JF nakutafuata ile thread iliyo na video clip ya Dr Ulimboka Ushuhuda wa Dr. Stephen Ulimboka - YouTube akijeleza jinsi tukio zima lilivyotokea. Nimesikiliza na naomba kila mtu asikilize tena kwa makini halafu tujiulize maswali. Kwa upande wangu nina haya yafuatayo;...
Kova adhihirisha hili kwa kuleta inteligensia ya uongo mbele ya waandishi ya wahabari. inawezekanaje kwa mtuhumiwa kwenda kanisani kutubu kufanya kosa ambalo atakuwa matatani pili katika simu ya mkenya huyu anyejidai ndiye aliyehusika na kumteka dr ulimboka kuna message nanukuu '' NIMESHAFIKA NAJARIBU KUWAZOEA'' inavyoonyesha dhahiri huyu mkenya feki wa TISS+polisi/kova. Alienda pale kwaajili ya kujikamatisha ili ionekane sio seriali imehusika na uteaji huu wa dr ulimboka. tatu naoa sasa inteligensia zinaanza kutumia makanisa kufanikisha uozo wao kumtuma mtu kanisani akajisalimisheili kuaminisha ummma kwamba ni kweli kwa mtu ambaye ni proffessional kutesa watu hawezi kufanya kitu hiko. tatu kumbuka Dr ulimboka alipohojiwa alisema anamfahamu mmoja ni afisa wa polis. CHANGANYA AKILI ZAKO NA ZA KOVA usiamini uongo huu wa intelegensia za kitoto. USIDANGANYIKE HIKI NI KIZAZI KIPYA.
NB: "kama wanataka intelegensia za kisasa wajaribu kunitafuta am professional kutengeneza"
maumivu yangu yaliyo moyoni nimeamua kuwashirikisha wanaJF na hii inatokana na mambo yote mabovu ambayao yamekuwa yakifanywa na hawa askari wetu wakiongozwa na Mwemana na kova kama tarumbeta lao.
naumia sana ninapomuona huyu mjinga Suleman Kova ambapo amekuwa akitudharau na kutuona sisi watanzania wote kuwa ni mambumbumbu hatujui chochote hatuoni, hatuelewi kiasi cha kuweza kutudanganya na kutufanya sisi ni was-nge kama yeye mimi nimeapa na mungu anisaidie siku nikikutana nae usokwa uso nitamshughulikia wacha wanisweke ndani mimi sina wasiwasi.
maumivu yangu yaliyo moyoni nimeamua kuwashirikisha wanaJF na hii inatokana na mambo yote mabovu ambayao yamekuwa yakifanywa na hawa askari wetu wakiongozwa na Mwemana na kova kama tarumbeta lao.
naumia sana ninapomuona huyu mjinga Suleman Kova ambapo amekuwa akitudharau na kutuona sisi watanzania wote kuwa ni mambumbumbu hatujui chochote hatuoni, hatuelewi kiasi cha kuweza kutudanganya na kutufanya sisi ni was-nge kama yeye mimi nimeapa na mungu anisaidie siku nikikutana nae usokwa uso nitamshughulikia wacha wanisweke ndani mimi sina wasiwasi.
Ingekuwa vema hata ukajifunza lugha ya kiswahili vizuri maana ni lugha ya Taifa.
1. Dr ameeleza jinsi alivyokuwa anawasiliana mara kwa mara na mtu aliyefanikisha yeye kufika Leaders Club usiku ule. Tena anasema mawasiliano yao yalianza wakati wa mgomo wa kwanza, je kweli polisi wanaweza kutuambia mtu huyo kwa kujaribu kufuatilia kwenye mitandano ya mawasiliano hawajaweza kumpata? Kwa jinsi ilivyokuwa ni lazima yeye ndio aliunganisha watekaji.
2. Dr anakumbuka watu waliomteka na hata wakati wa kumtesa hawakuwa kumi na mbili, tena walimuamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine, sasa hilo jambazi la Kenya limepata wapi figure ya 12?
3. Dr anasema walipomtesa walikuwa wanamwambia unatusumbua sana wakati tulishasaini makubaliano, je makubaliano yapi? Unafikiri ni ya wagonjwa na madaktari? Hapa, je watanzania tuliwahi kufanya nao makubaliano? Hapa, makubaliano pekee ninayoyakumbuka ni kati ya Madaktari na serikali, correct me if i'm wrong!
4. Haingii akili eti Jambazi linataja idadi ya waliokwenda kumteka na kumtesa lakini hawakumbuki kwa sura!! Jambazi mzoefu kutoka nje ya nchi aliyekodiwa kwa special task hawezi kuwakumbuka waliompa ajira? Kwa kazi kama hizo lazima kuna makubaliano fulani ya awali sometimes part payment na watu waliomuunganisha kuja kufanya kitendo kama hicho, kweli hata hao hawakumbuki?