Tunahitaji Kamanda Wa Jeshi Shupavu Kama Huyu

Tunahitaji Kamanda Wa Jeshi Shupavu Kama Huyu

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Aaaaa.jpg

Huyu akitoa amri lazima ufuate, sio kama kina Mwamunyange!
 
huyu alifaa kuwepo gongolamboto on wednesday kwani alikuwa na uwezo wa kuamuru zile missile ziache kufumuka hovyo hovyo
 
Huyo mtu wa photoshop alisahau hata kumwekea kapua japo kadogo huyo askari. Makamasi atatolea wapi jamani?
 
Inawezekana ikawa ni kelele tu lakini vitendo ni kama JK
 
Hakika huo mdomo ni hatari, maana unaweza kufyatua bomu.
 
Back
Top Bottom