Tunafanya Installation za TV Channel

Tunafanya Installation za TV Channel

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Kwa wale wenye Guest house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji kusambaziwa channel tuwasiliane kwa PM ni channel zozote uzitakazo wewe ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu sana.
Aksanteni sana pia nakaribisha maswali kwa ufafanuzi zaidi.
 
Kwa mtu binafsi haifai??
 
Kwa mtu binafsi haifai??

Mtu binafsi anaweza akatumia njia hii endapo atapenda kusambaza katika vyumba vyake ili kila aliyeko chumbani ajibadilishie channel anayopenda. Tofauti na hapo anaweza akatumia njia ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom