Tunaelekea wap?!

Tunaelekea wap?!

Aunt Cash

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
88
Reaction score
97
Habar wakubwa
Binafsi mimi ni shabiki mkubwa sana wa hzi nyimbo za magharibi lakni leo kilichonishtua na kunishangaza ni huyu mwana dada anayejulkana kwa jina la CARD B kutoa wimbo unaitwa PRESS hapo jana akiwa anacheza uchi wa mnyama,Kwa hali hii itabdi nirud kwenye gospel
 
Attachments

  • cardi-b-press-music-video.jpeg
    cardi-b-press-music-video.jpeg
    52.1 KB · Views: 38
Hizi ni siku za mwisho jameni tujiandae mda wowote utasikia mwana wa adamu amekuja
 
Sikiliza Tropical House Music, angalia video zake huwezi kukutana na huo upumbavu!
 
Habar wakubwa
Binafsi mimi ni shabiki mkubwa sana wa hzi nyimbo za magharibi lakni leo kilichonishtua na kunishangaza ni huyu mwana dada anayejulkana kwa jina la CARD B kutoa wimbo unaitwa PRESS hapo jana akiwa anacheza uchi wa mnyama,Kwa hali hii itabdi nirud kwenye gospel
naona umeamua kuupromote huu wimbo humu jf,leo huu wimbo utafuatiliwa sana,ww angalia tu jina la wimbo lilivyokuwa demanded,na huyu card b atapigiwa punyeto Leo hatapumzika,Leo chaputa wamepata starter mpya,atafungwa magoli mengi sana huyu Dada leo
 
Si watu walikua wakimsema Niki Minaj kuwa mkaa uchi sanaaa?!
Mama angu wa kambo huyu kimemkuta nini
 
...huyo dada si alikuwa striper ?!
...jasiri hawezi acha asili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom