Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,015
- 2,645
Huku nako wapo wafanyaibada uchiHabar wakubwa
Binafsi mimi ni shabiki mkubwa sana wa hzi nyimbo za magharibi lakni leo kilichonishtua na kunishangaza ni huyu mwana dada anayejulkana kwa jina la CARD B kutoa wimbo unaitwa PRESS hapo jana akiwa anacheza uchi wa mnyama,Kwa hali hii itabdi nirud kwenye gospel