Una wivu wa kikeNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Ukapimwe akiliSiyo la kike itakuwa umelionea. ni la wendawazimu.linasubiria kudra za mwenyezi Mungu awasaidie kila kitu. Hakuna haki wala uhuru.na bado watu wanaangalia tuuu.kizazi cha ajabu kabisa kutokea ndani ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Ule MHIMILI ungine utampata MWANAMKENaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Nafikiri ni ngumu kunielewa. Unazijua products za UWT?chakaza nilidhani wewe ni progressive, kuwa unaikosoa CCM kwa hoja walivyoshindwa na sio ubaguzi za kuita wanawake wachambua mchele, wakuna nazi, wambea
Chadema mlisimamisha wanawake wengi kuliko CCM kwenye majimbo uchaguzi wa 2020, sasa kama ni wachambua mchele au mlikuwa mnageuza chama chenu kuwa cha kike basi mlipotea sana
Eti product za UWT,Dr.Tulia unaweza kumlinganisha na BAWACHA yupi?Nafikiri ni ngumu kunielewa. Unazijua products za UWT?
Ukishazifahamu products za UWT zinakuwaje ndio utakapoona hofu yangu iko wapi.
Please usipanic fuatilia na wewe hofu hiyo itakuingia
Kweli Tz taifa la kikeNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Naona umeshavurugwa!Eti product za UWT,Dr.Tulia unaweza kumlinganisha na BAWACHA yupi?
Msadie kujibu ni BAWACHA gani anauwezo wa Tulia?Naona umeshavurugwa!
Kwani aliongea uongo?.Huyu anayesema "kazi ya mhimili wa Bunge sio kubishana na serikali, maana serikali ni kubwa kuliko bunge"?
Kama unamaanisha huyo basi you need your head examined!
Mbaguzi katika ubora wakoNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.