Tunadeliver nyama hii popote Tz

Tunadeliver nyama hii popote Tz

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,301
Reaction score
40,930
FB_IMG_1548095975812.jpg
 
Hii kitu niliionja for the first time wakati nasoma mtwara ndanda boys 2008.
Daaah, so much memories... Nakumbuka disco la welcome form five tuliwaalika masasi girls. Nlikua among tuliochaguliwa kwenda kuwachukua shuleni kwao hapo tupo ndani ya suruali zetu nyekundu, mashati ya tomato na tai nyekundu. Picha linaanza Lori la shule halina hata kioo Cha mbele. Sasa unajua ilikuaje?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom