Nic..
Senior Member
- Jul 22, 2014
- 145
- 160
Kma wewe ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za kimataifa, utakubaliana na mimi kwamba:
Chama kikuu cha upinzani Huwa na watu wengi zaidi kwenye mikutano yao kuliko vyama tawala.
Kwanini Mwisho wa siku chama tawala hushinda??
(Kwa asili, chama kikuu cha upinzani huwa kinajaza watu wengi zaidi mikutanoni kwa kuwa watu wanataka kujua wanajipya gani???) sasa hiyo inawafanya wahisi wale wote ni wapiga kura wao.... Tujenge hoja ndugu zangu teammabadiliko, sisi ni binadamu, sio nyumbu! hii ni nchi ya kidemokrasia sio ya kidikteta!, na hii ni Tanzania sio zimbabwe/uganda/burkinafaso wala korea kaskazini!
TUNACHOKOSEA WANAMABADILIKO.
1. Kupumbazwa na NYOMI Na kuhisi wote waliokuja pale ni wapiga kura wetu, au wote waliokuja pale hawakuwepo kwenye mkutano wa chama tawala!
2.Kuwashanbulia watu kwa kuwa wanakosoa/kushauri tu ni TATIZO kubwa. Matokeo yake kunafanya wengi kumsapoti Magufuli "kimyakimya" na kuikaanga ukawa atakapokuwa peke yake kwenye chumba cha kupigia kura. Nakubaliana na utafiti wa TWAWEZA kwani Magufuli ana kundi kubwa sana la mashabiki ambao wanajidai neutral au teamMabadiliko kwa kuogopa kuonekana wako "Out of fashion" lakini mioyon mwao wana ajenda tofauti kabisa.
3. Kuhisi Mabadiliko ni lowasa tu Tumesahau kabisa kuwa kuna ubunge na udiwani. Nguvu kubwa inatumika kumnadi lowasa na hakuna anayefikiria juu ya wabunge na madiwani. Mabadiliko bila baraza imara la mawaziri ni Sifuri!