Kuchakachua Kura za Wazanzibar 2025 itakuwa changamoto kubwa, Enzi zinatamatika. Huku Bara Kikwete amesema CCM itashinda 2025&2030

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Jana nimefuatilia Mazingira ya Zanzibar na hasa Umoja wao nikagundua wale Watu wanajitambua sana

Nadhani mabadiliko ya kubadilisha Chama Tawala yatawahusu Zanzibar hata kama ni Miaka 20 Ijayo

Baada ya ACT Wazalendo Kuchaguliwa Zanzibar ndio itawaamsha Chadema na Watanganyika wote kutoka Usingizini

Nimewaona ACT Wazalendo ya Zanzibar siyo Watu wa Maigizo

Dominica Njema 😄🔥
 
Back
Top Bottom