Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Au tumefaulu kufeli kama taifa?
Mi sijashindwa mambo yangu yanafanikiwa tu .....
hapa nazungumzia kitaifa na sio mtu mmoja mmoja.
Nalalamika,sijalamember wote humu ndani mmesha kula chakula cha mchana?