Tunachokitaka tunakipata tuoe wa nini?

Tunachokitaka tunakipata tuoe wa nini?

Ukiniuliza mimi nitasema ni human nature kuwa hawapendibkuwa caged in commitments. Wanahisi kuwa akishaowa hataweza kufanya baadhi ya vitu vingi ambavyo anapenda kufanya kama kulala nje akiwa club so akifikiria hapo anaona bora asubiri kwanza ili achoke kustarehe. It is true kuchezewa inauma sana kwasababu inakufanya ufikiri less of urself. So a little advice to girls closing ur legs will give you a diamonds, cars houses aand everything you need. Men will always want you so usiogope kumkataa cause from that angle ndo ataanza kukutreat like the queen that you re. Ukimkatalia sio kama ataenda kwa mwingine but ata circle around na kurudi kwako. Because you have all that they need.
You hited the point
Clap clap clap:thumbup:

Kwani wao kufikisha 30+ bila ndoa ni akili au wanajifariji? sawa wanapata wanachokitaka ila wako tofauti sana na waliooa. Ndo maana wanakaa vijiweni badala ya kutafuta maisha. Watoto watazaa na mwisho siku watatakiwa kuoa. watakaa wapi kila siku kumeendea dinner au lunch wa waliooa? Kimya kimya wanawatamani wenye wake zao.

Si ndo hapo sasa!🙄
 
Kikubwa kutafuta pesa tu na kujua namna ya kuzitumia vizuri. Hayo mambo ya kuoa hayana maana yoyote. Unapata watoto tu na unawalea vizuri kama una pesa. Wataenda shule boarding watakaa huko watajifunza maisha. Lakini mambo ya kukaa baba mama mtoto eti mnalea. Ni mambo ya kizamani sana. Mtaishia kupata stress tu na mtoto kuwashinda. Ila pesa ndio kila kitu. Ndoa haina maana. Full stop

Umemaliza mjadala wakiendelea watakua wabishi.
 
Back
Top Bottom