Tunaacha mambo ya msingi yanapita, tunakomaa na MB 8

Tunaacha mambo ya msingi yanapita, tunakomaa na MB 8

Hauko serious. Ningekuwa mod thread hii ningeipeleka jokes!Yaani unataka kuniambia kwamba hujui jinsi internet ilivyo muhimu kwa maisha ya kisasa?Hujui jinsi watu wanavyodownload vitu muhimu kwa maisha yao? Nakushangaa si kidogo

Mkuu usimshangae....yeye bado anatumia telegram......
 
umetumwa na voda? huu ujumbe wako utatufikia vipi kama hatuna mb za kutosha? kila jambo lina nafasi yake na umuhimu wake.
 
Wise 2012 utaumia kichwa bure..humu ni kijiweni na usitegemee watu makini sana..humu utani .wingi..kuna vichwa vichache vinaleta issues za maana.


Waliobaki ni simple minds
 
Back
Top Bottom