Tunaacha mambo ya msingi yanapita, tunakomaa na MB 8

Tunaacha mambo ya msingi yanapita, tunakomaa na MB 8

WISE 2012

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
634
Reaction score
460
Mb 8, kila kona mb 8...

Watu mnasahau maswala ya maana mnajadili mb 8, matokeo ya kidato cha nne ovyo VIjana macho yote mb 8, EWURA wameshusha mafuta Sumatra wamegoma nauli ile ile, watu hatuhoji tunapigia kelele mb 8,

Rais katangaza Sera mpya ya elimu upumbavu mtupu eti elimu ya msingi miaka kumi watu wanachekelea ukija huku wanalalamikia mb 8,

wakulima wanatoswa na vocha za kilimo, waziri kakaa kimya kazi kugeuza kifungo cha koti tu...juzi mb 8 mpaka makamba katoa tamko...tuache ujinga watanzania mb 8 sio chakula....mb 8 zimekuwa ishu utadhani kuna mijitu imepoteza maisha kwa ajili ya mb 8.....wanafunzi chuoni wameambiwa kujiamdikisha kupiga kura kwao lkn uchaguz ukifika watakuwa chuoni....

hawalalamiki kwa kukosa haki yao ya msingi .......lkn walivyosikia mb 8 hata kula hatujala....kelele kibaaaaaaao.....tujifunze kutambua mambo ya umuhimu tuache ushabiki....ebu jiulize toka mb 8 ziwepo umekosa nn cha maana...

acha ujinga we mb 8 namba tu hizo umewekewa unawezekana kiuhalisia hata mbili hazifiki.....na nyie mawaziri achen ufala kuna mambo kibao ya kutolea matamko yenye tija kwa wananchi.....

yaani waziri mzma uko nje ya nchi unasimamisha shughuli zako unatolea tamko mb 8? Halafu unataka urais...urais sio mb 8....

Jamanni mi napita tu baadae nitumieni clip isiyozidi mb 8.
 
Leo na mimi nimekuwa muhanga was mb8. Ile kulog in tu, zikakwanguliwa zote. Kesho naenda chuo kujiunga na kifurushi cha chuo maana haya majanga.
 
Unasahau hiyo MB ndo nyenzo ya kupashana habari ya kinachoendelea..? Umefanya utafiti wa kujua mitandao ya jamii na internet inavyosaidia kupashana habari..? Umepita vyuoni na kuona ni jinsi gani wanafunzi wanavyotumia internet kama sehemu kupata elimu..?

Kupunguzwa kwa data kumekuwa na direct impact kwa hao unaowashangaa..
 
Umeongea kitu cha maana.
 
Hahahaha hapa nilipo zimebakia
MB 8 TU 1424093562199.jpg
 
Unasahau hiyo MB ndo nyenzo ya kupashana habari ya kinachoendelea..? Umefanya utafiti wa kujua mitandao ya jamii na internet inavyosaidia kupashana habari..? Umepita vyuoni na kuona ni jinsi gani wanafunzi wanavyotumia internet kama sehemu kupata elimu..?

Kupunguzwa kwa data kumekuwa na direct impact kwa hao unaowashangaa..

Hahahahahaaaa haaaaaaaa
 
WISE 2012,
Hauko serious. Ningekuwa mod thread hii ningeipeleka jokes!Yaani unataka kuniambia kwamba hujui jinsi internet ilivyo muhimu kwa maisha ya kisasa?Hujui jinsi watu wanavyodownload vitu muhimu kwa maisha yao? Nakushangaa si kidogo
 
Last edited by a moderator:
Hujui ulisemalo kwa maana kwa sasa matumizi ya internet ni makubwa hata kuliko kupiga simu.
 
Kuna vitu vya msingi kuliko hata hiyo mb8 unayoitetea kwa mfano mafuta yameahuka bei nauli iko pale pale watanzania na wairi wenu mko kimya, matokeo ya f4 ovyo mko kimya na wazir wenu, mkuu wa nchi katangaA kuongeza muda darasa la 7 miaka kumi watu mmekazania mb8 mb8 wakati kuna substite yake...
 
Hauko serious. Ningekuwa mod thread hii ningeipeleka jokes!Yaani unataka kuniambia kwamba hujui jinsi internet ilivyo muhimu kwa maisha ya kisasa?Hujui jinsi watu wanavyodownload vitu muhimu kwa maisha yao? Nakushangaa si kidogo

Tafakari....
 
Pumba tupu. Wengine mtandao wa internet ndio kila kitu kwetu
 
Kuna vitu vya msingi kuliko hata hiyo mb8 unayoitetea kwa mfano mafuta yameahuka bei nauli iko pale pale watanzania na wairi wenu mko kimya, matokeo ya f4 ovyo mko kimya na wazir wenu, mkuu wa nchi katangaA kuongeza muda darasa la 7 miaka kumi watu mmekazania mb8 mb8 wakati kuna substite yake...

sasa mkuu hayo mengine tutayadili wapi bila yakuwa na hizo MB za kutosha? unataka tuyajadili tukiwa chumbani kwetu na mademu zetu? hayo yote uliyosema hatuwezi kuyajadili bila MB za kutosha.MB 8 hata kufungua jamii forum 2 times haitoshi.tupe njia mbadala hayo mambo tukayajadili wapi labda?
 
New price list of mge incubators. Incubators price list.

A.automatic electrical egg incubators.

1.30-60..........500000
2.60-90 .........600000
3.90-120........700000
4.120-150......800000
5.150-180......900000
6.180-210....1000000
7.240-270....1100000
8.270-300....1200000
9.360...........1400000
10.420.........1500000
11.480 ........1600000
12.510.........1700000
13.600.........1900000
14.660.........2000000
15.720.........2100000
16.780.........2200000
17.840.........2300000
18.900.........2400000
19.960.........2500000
20.1020.......2600000

b.electrical manual incubator.
Basically,this is incubators uses handle to turn egg manualy after each eight hours.
If you need manual incubator,reduce tshs.200000,in the normal price of automatic,the remaining is the price of manual inc.
 
Kerosene egg incubator
 
Attachments

  • 1424104213345.jpg
    1424104213345.jpg
    61.7 KB · Views: 240
sasa mkuu hayo mengine tutayadili wapi bila yakuwa na hizo MB za kutosha? unataka tuyajadili tukiwa chumbani kwetu na mademu zetu? hayo yote uliyosema hatuwezi kuyajadili bila MB za kutosha.MB 8 hata kufungua jamii forum 2 times haitoshi.tupe njia mbadala hayo mambo tukayajadili wapi labda?

Kuna vitu vingi sana vinavyo tikisa nchi ambavyo vimetokea kabla hata ya hizo mb 8 lakin watu hawakupasa saut kiac hicho na walikuwa na mb kibao b4 zaidi ya walivyofanya kwa mb 8...hailet refrection yenye mantiki
 
Back
Top Bottom