Tuna sababu ya kuipigia kura CCM 2015

Tuna sababu ya kuipigia kura CCM 2015

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
1,489
Reaction score
900
Tumefikilia jambo hili tukapata majibu kwamba bado tunahitaji CCM, tunajua yapo mapungufu, na hakuna hasiye na mapungufu.

CCM wanapigania usawa na kuondoa ubaguzi miongoni mwa jamii husika, CCM inanifanya nilinge pindi ninaptembea katika barabara zilizo nzuri, siwezi kuipigia CUF hata kidogo. CCM tofauti na vyama vingne hili nakubali.......kwa Zanzibar watu wa bara lazima tuipgie kura CCM tena kwa nguvu zote maana hiki ndicho chama kinacholeta umoja kwetu hiki ndicho chama kinachotaka maendeleo ya kila mmoja pasi na kuangalia uzawa wake tofauti na CUF, Yes hatuwezi kwenda tofauti na hili, tunaona manyanyaso tunayoyapata na ubaguzi toka kwa wapemba halafu leo CUF wapewe Nchi unadhan patakalika? Haiwezekani hakuna aliyechizi akaipigia kula CUF kwa huku Znz kwa upande wa wabongo yes tunasababu ya kufanya hili.

Sina chama lakini ntafikilia siku niende chama gani. But CCm tunawahitaji na hili ndilo litanifanya nizidi kuiombea Dua utawala wake udumu na wafanye mabadiliko ya kweli, wote mafisadi wafungwe na haki zitendeke ni chama kizuri kinachafuliwa na wachache.

VIVA CCM ALWAYS CCM
 
Tumefikiria
Tunawahitaji
Tukaona
Tunapata

Zingatia matumizi ya umoja na wingi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tumefikilia jambo hili tukapata majibu kwamba bado tunahitaji CCM, tunajua yapo mapungufu, na hakuna hasiye na mapungufu.

CCM wanapigania usawa na kuondoa ubaguzi miongoni mwa jamii husika, CCM inanifanya nilinge pindi ninaptembea katika barabara zilizo nzuri, siwezi kuipigia CUF hata kidogo. CCM tofauti na vyama vingne hili nakubali.......kwa Zanzibar watu wa bara lazima tuipgie kura CCM tena kwa nguvu zote maana hiki ndicho chama kinacholeta umoja kwetu hiki ndicho chama kinachotaka maendeleo ya kila mmoja pasi na kuangalia uzawa wake tofauti na CUF, Yes hatuwezi kwenda tofauti na hili, tunaona manyanyaso tunayoyapata na ubaguzi toka kwa wapemba halafu leo CUF wapewe Nchi unadhan patakalika? Haiwezekani hakuna aliyechizi akaipigia kula CUF kwa huku Znz kwa upande wa wabongo yes tunasababu ya kufanya hili.

Sina chama lakini ntafikilia siku niende chama gani. But CCm tunawahitaji na hili ndilo litanifanya nizidi kuiombea Dua utawala wake udumu na wafanye mabadiliko ya kweli, wote mafisadi wafungwe na haki zitendeke ni chama kizuri kinachafuliwa na wachache.

VIVA CCM ALWAYS CCM
Mleta mada,
Linganisha hizo sentensi mbili uone kama unawaza kwa akili zako binafsi au za kusikia!
 
Tumefikilia jambo hili tukapata majibu kwamba bado tunahitaji CCM, tunajua yapo mapungufu, na hakuna hasiye na mapungufu. CCM wanapigania usawa na kuondoa ubaguzi miongoni mwa jamii husika, CCM inanifanya nilinge pindi ninaptembea katika barabara zilizo nzuri, siwezi kuipigia CUF hata kidogo. CCM tofauti na vyama vingne hili nakubali.......kwa Zanzibar watu wa bara lazima tuipgie kura CCM tena kwa nguvu zote maana hiki ndicho chama kinacholeta umoja kwetu hiki ndicho chama kinachotaka maendeleo ya kila mmoja pasi na kuangalia uzawa wake tofauti na CUF, Yes hatuwezi kwenda tofauti na hili, tunaona manyanyaso tunayoyapata na ubaguzi toka kwa wapemba halafu leo CUF wapewe Nchi unadhan patakalika? Haiwezekani hakuna aliyechizi akaipigia kula CUF kwa huku Znz kwa upande wa wabongo yes tunasababu ya kufanya hili. Sina chama lakini ntafikilia siku niende chama gani. But CCm tunawahitaji na hili ndilo litanifanya nizidi kuiombea Dua utawala wake udumu na wafanye mabadiliko ya kweli, wote mafisadi wafungwe na haki zitendeke ni chama kizuri kinachafuliwa na wachache. VIVA CCM ALWAYS CCM

Kiongozi si bora ungekaa kimya unaposema tumefikilia.....unamaanisha wewe na nani? na Demu wako au wa nyumbani kwenu. Sasa anza kutueleza baada ya wezi wa EPA kujulikana na serikali ya CCM ilipoambiwa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka...........babu pinda na Raisi walijibuje? "Tukiwakamata nchi itayumba" hivyo acha warudishe kidogo kidogo. Pili Kikwete kwenye mkutano pale dodoma akasema wakati wa sherehe za kuzaliwa ccm......alisema hawajui dowans, wala dowans hawamuhitaji.......baadae mzee Lowassa akamwambia JK kuwa alimpigia simu akiwa nje ya nchi kuwa awafute Dowans lakini JK akasema anawafahamu...... Sasa watu wa akili za hivi unawahitaji wapi?

Kuna mabilioni USWISS serikali haina majina ya wezi ila ZItto mtu mmoja ana majina......then unawahitaji hao ili iweje. Na kwa Kiswahili ulichokiandika inaonesha kabisa wewe shule hukwenda na inawezekana ulikosa mkopo.......sijui wadogo zako kama wanapata mkopo.........unawahitaji CCM wa kazi gani?...........Hospitali hapa watu wanakosa Ceptrine/ Cotrimoxazole ili waweze kukabiliana na magonjwa nyemelezi..........wakati tuna migodi mingi hapa ya dhahabu na Almasi , pia tuna maziwa makuu Victoria na Tanganyika.........bado unasema unaihitaji ccm,,,,,,,,kama nchi inaviongozi wenye akili kichwani na sio funza kichwani wanasafirisha Twiga aliyehai.........unawahitaji ili wafanyeje.

Una akili mbovu sana na wewe hujui matatizo tuliyonayo vijijini........kwa sababu ya udhalimu wa serikali. Unataka utukanwe hapa lakini utaungwa mkono na wale ambao wazazi wao au wao wenyewe wameshiriki kikamilifu katika kuiba raslimali za nchi hii. Wialya/Halmashauri zimeoza serikali inachekacheka..........watu wala rushwa........uuzaji wa meno ya tembo tena kwa kampuni inayomilikiwa na Katibu mkuu wa CCM .........alafu bado unasema umefikiri na unawahitaji CCM.

Mwl. Nyerere wakati wa uongozi wake tuliishi vizuri na mambo mengi muhimu yalikuwa yanapatika tena kwa unafuu mfano elimu....na mashirika na raslimali za nchi hiii zilikuwa hazijauzwa kwa walafi........leo hii hadi kieneo kidogo ni muwekezaji na bado maisha magumu watu wanachimba wanapeleka kwao ......ccm inatazama tu leo hii unasema unawahitaji....??":*&^%%$$#@%^&&* Ndo maana nasema wewe una matatizo ya akili.

Leo hii inajengwa barabara ya Lami mnapiga makofi kana kwamba barabara ni zawadi.....wakati ni haki yako kwa sababu Mungu alitoa raslimali nyingi kwa nchio hii ili zitumike ujengewe barabara miala 35 iliyopita lakini wachahche wakala hizo fedha leo hii wameona upinzani wamepiga kelele mnajengewa barabara mnapiga makofi.........kama sio upumbavu ni nini? Unasema huna cha then unasema Viva ccm always ccm,,,........au hujui hata matumizi ya hayo maneno.......ila umekutana nayo facebooo. &**())(**^%%&** wewee.

NAONGEA NA KWA KUJIAMINI NA NAKUKUELEZA KUWA CCM NI WEZI WA RASLIMALI ZA WATANZANIA HATA KAMA NINAULIWA LEO.

"Hata nikifa leo wanangu watakuwa na la kusema juu yangu kuwa baba alikuwa mtu aliyeweza kusimama na kusema na kutetea kile alichoamini kuwa ni kweli kwa maslahi ya nchi hii"

Wewe ukifa leo wanao watasema nini? Kuwa ulikuwa muimba pambio na mpiga makofi wakati wa ujio wa ccm maeneo yako.!!!!
 
Tumefikilia jambo hili tukapata majibu kwamba bado tunahitaji CCM, tunajua yapo mapungufu, na hakuna hasiye na mapungufu.

CCM wanapigania usawa na kuondoa ubaguzi miongoni mwa jamii husika, CCM inanifanya nilinge pindi ninaptembea katika barabara zilizo nzuri, siwezi kuipigia CUF hata kidogo. CCM tofauti na vyama vingne hili nakubali.......kwa Zanzibar watu wa bara lazima tuipgie kura CCM tena kwa nguvu zote maana hiki ndicho chama kinacholeta umoja kwetu hiki ndicho chama kinachotaka maendeleo ya kila mmoja pasi na kuangalia uzawa wake tofauti na CUF, Yes hatuwezi kwenda tofauti na hili, tunaona manyanyaso tunayoyapata na ubaguzi toka kwa wapemba halafu leo CUF wapewe Nchi unadhan patakalika? Haiwezekani hakuna aliyechizi akaipigia kula CUF kwa huku Znz kwa upande wa wabongo yes tunasababu ya kufanya hili.

Sina chama lakini ntafikilia siku niende chama gani. But CCm tunawahitaji na hili ndilo litanifanya nizidi kuiombea Dua utawala wake udumu na wafanye mabadiliko ya kweli, wote mafisadi wafungwe na haki zitendeke ni chama kizuri kinachafuliwa na wachache.

VIVA CCM ALWAYS CCM

sawa muishiwa coco hakika wewe ni coco,endelea hivyo hivyo kuwa coco na kufikilia.Kwangu mimi wewe ni,shenzi mara.MIXMYMX
 
Tumefikilia jambo hili tukapata majibu kwamba bado tunahitaji CCM, tunajua yapo mapungufu, na hakuna hasiye na mapungufu.

CCM wanapigania usawa na kuondoa ubaguzi miongoni mwa jamii husika, CCM inanifanya nilinge pindi ninaptembea katika barabara zilizo nzuri, siwezi kuipigia CUF hata kidogo. CCM tofauti na vyama vingne hili nakubali.......kwa Zanzibar watu wa bara lazima tuipgie kura CCM tena kwa nguvu zote maana hiki ndicho chama kinacholeta umoja kwetu hiki ndicho chama kinachotaka maendeleo ya kila mmoja pasi na kuangalia uzawa wake tofauti na CUF, Yes hatuwezi kwenda tofauti na hili, tunaona manyanyaso tunayoyapata na ubaguzi toka kwa wapemba halafu leo CUF wapewe Nchi unadhan patakalika? Haiwezekani hakuna aliyechizi akaipigia kula CUF kwa huku Znz kwa upande wa wabongo yes tunasababu ya kufanya hili.

Sina chama lakini ntafikilia siku niende chama gani. But CCm tunawahitaji na hili ndilo litanifanya nizidi kuiombea Dua utawala wake udumu na wafanye mabadiliko ya kweli, wote mafisadi wafungwe na haki zitendeke ni chama kizuri kinachafuliwa na wachache.

VIVA CCM ALWAYS CCM

Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......aghhhhhhhh kumbe nchi yenyewe Zanzibar!!!!! siku nyingine fafanua mjinga wewe.......Bado sana Zanzibar itaendelea kubaki kuwa kajieneo ka Tanzania
 
Elimu ya uraia baado kabisa tanzania we mleta mada umeishia darasa la ngapi ,kiswahili cha kuandika huwezi alafu unatushawishi tuipende hii ccm inayouza wanyama hai nje ya nchi ili wajuu zetu wasije kukuta kitu,ama kweli Nyerere alisema HATA UJINGA NI KIPAJI!
 
Mods msipokuwa makini huu uzi lazima mtu ale ban hapa,mleta mada anachefua roho za watu
 
CoCO kusifia CCm ni lazima uwe na kichwa cha mwenda wazimu, na nina uhakika hauwezi kuongea haya maneno mbele ya watu wenye akili zao. lazima utaona aibu!
 
Do it for ur own and ur family na si kwa wote!isingekuwa ccm tungeshakuwa mbali sn zaidi ya tulivyo leo!CCM pushed and back the real development we deserved by this time!
 
CCM inanifanya nilinge pindi ninaptembea katika barabara zilizo nzuri,

Ha ha ha..ndo wanikumbusha kijiji fulani hivi walishangilia lami ilivyopita kwao.. Mwisho wakagundua haina msaada kwao zaidi ya watoto na wenzao kugongwa na magari yaliokuwa yakipita kaci.. Mwisho wakaamua kuichimba mtaro..
 
mleta uzi inaelekea yuko chakari au zimemlalia
 
acha uongo huna chama wakati maneno yako tu yanaonesha we ni gamba!hebu tuondolee uchafu wako
 
Kiongozi si bora ungekaa kimya unaposema tumefikilia.....unamaanisha wewe na nani? na Demu wako au wa nyumbani kwenu. Sasa anza kutueleza baada ya wezi wa EPA kujulikana na serikali ya CCM ilipoambiwa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka...........babu pinda na Raisi walijibuje? "Tukiwakamata nchi itayumba" hivyo acha warudishe kidogo kidogo. Pili Kikwete kwenye mkutano pale dodoma akasema wakati wa sherehe za kuzaliwa ccm......alisema hawajui dowans, wala dowans hawamuhitaji.......baadae mzee Lowassa akamwambia JK kuwa alimpigia simu akiwa nje ya nchi kuwa awafute Dowans lakini JK akasema anawafahamu...... Sasa watu wa akili za hivi unawahitaji wapi?

Kuna mabilioni USWISS serikali haina majina ya wezi ila ZItto mtu mmoja ana majina......then unawahitaji hao ili iweje. Na kwa Kiswahili ulichokiandika inaonesha kabisa wewe shule hukwenda na inawezekana ulikosa mkopo.......sijui wadogo zako kama wanapata mkopo.........unawahitaji CCM wa kazi gani?...........Hospitali hapa watu wanakosa Ceptrine/ Cotrimoxazole ili waweze kukabiliana na magonjwa nyemelezi..........wakati tuna migodi mingi hapa ya dhahabu na Almasi , pia tuna maziwa makuu Victoria na Tanganyika.........bado unasema unaihitaji ccm,,,,,,,,kama nchi inaviongozi wenye akili kichwani na sio funza kichwani wanasafirisha Twiga aliyehai.........unawahitaji ili wafanyeje.

Una akili mbovu sana na wewe hujui matatizo tuliyonayo vijijini........kwa sababu ya udhalimu wa serikali. Unataka utukanwe hapa lakini utaungwa mkono na wale ambao wazazi wao au wao wenyewe wameshiriki kikamilifu katika kuiba raslimali za nchi hii. Wialya/Halmashauri zimeoza serikali inachekacheka..........watu wala rushwa........uuzaji wa meno ya tembo tena kwa kampuni inayomilikiwa na Katibu mkuu wa CCM .........alafu bado unasema umefikiri na unawahitaji CCM.

Mwl. Nyerere wakati wa uongozi wake tuliishi vizuri na mambo mengi muhimu yalikuwa yanapatika tena kwa unafuu mfano elimu....na mashirika na raslimali za nchi hiii zilikuwa hazijauzwa kwa walafi........leo hii hadi kieneo kidogo ni muwekezaji na bado maisha magumu watu wanachimba wanapeleka kwao ......ccm inatazama tu leo hii unasema unawahitaji....??":*&^%%$$#@%^&&* Ndo maana nasema wewe una matatizo ya akili.

Leo hii inajengwa barabara ya Lami mnapiga makofi kana kwamba barabara ni zawadi.....wakati ni haki yako kwa sababu Mungu alitoa raslimali nyingi kwa nchio hii ili zitumike ujengewe barabara miala 35 iliyopita lakini wachahche wakala hizo fedha leo hii wameona upinzani wamepiga kelele mnajengewa barabara mnapiga makofi.........kama sio upumbavu ni nini? Unasema huna cha then unasema Viva ccm always ccm,,,........au hujui hata matumizi ya hayo maneno.......ila umekutana nayo facebooo. &**())(**^%%&** wewee.

NAONGEA NA KWA KUJIAMINI NA NAKUKUELEZA KUWA CCM NI WEZI WA RASLIMALI ZA WATANZANIA HATA KAMA NINAULIWA LEO.

"Hata nikifa leo wanangu watakuwa na la kusema juu yangu kuwa baba alikuwa mtu aliyeweza kusimama na kusema na kutetea kile alichoamini kuwa ni kweli kwa maslahi ya nchi hii"

Wewe ukifa leo wanao watasema nini? Kuwa ulikuwa muimba pambio na mpiga makofi wakati wa ujio wa ccm maeneo yako.!!!!

kaka hizi sarakazi za walafi wachache wa mtandao zisitumike kuhukumu CCM yote na kufuta mazuri yake yote. Kuna good elements within CCM, hawa wahuni mwisho wao 2015 chama kinarudi kwenye mstari sawia..bila CCM imara nchi itayumba, wapinzani ni kama watoto wanaobalehe, munkari kubwa sana maarifa na uzoefu hamna,
 
Hebu jaribu kushirikisha ubongo kwenye kauli zako halafu makalio yaachie yaendelee kufanya kazi yake.
Au ulivyokua unaandika ulikua umepakatwa nii???????
Puuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhh.
 
Acha ujinga wako wewe hujaridhika tu bibi zako kufa njaa wamenyakuliwa mashamba yao;wamedhurumiwa haki zao;wamekosa dawa hospital?acha u bogus na uwe mtu makin usiwe ka mfu bana:
 
Ili muendelee kuiba mali za umma na kutumia madaraka vibaya?.CCM ni noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!, go to hell.
 
Back
Top Bottom