Je, TISS mnawashauri nini Watanzania ikiwemo watumishi wa Serikali hasa baada ya CIA, FBI NSA nk kugutuka?

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
7,786
Points
2,000

shige2

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
7,786 2,000
Wana jamvi, tunaweza kuwa na mitazamo tofauti kulingana na miegemeo ya siasa zetu. Lakini inapofikia USALAMA wa nchi yetu tunavua RANGI na KOFIA za VYAMA vyetu na tinabaki Watanzania WALIO na UMOJA. Maana hatuna nchi nyingine ila ni hii yetu Tanzania.

Tunaweza kuchagua marafiki huku tukiwa MACHO. Waswahili wanasema "MLA nawe HAFI nawe bali MZALIWA nawe"

Ni juzi tu wakati mashirika makuu 6 ya kijasusi 6 ya Marekani
CIA,
FBI,
NSA, ikiwemo pia kitengo cha
DNI Director/Mkurugenzi of National Intelligence kinachounganisha Taasisi zote za kujasusi za Marekani.

KIMETOA TAHADHARI kwa RAIA wa Wamarekani kuwa WASITUMIE wala KUNUNUA simu za HUAWEI zikiwemo za kampuni za ZTE.Ambazo zinaaaminiwa kumilikiwa na jeshi la China kwa kutumia Kampuni binafsi ya Mwanajeshi MSTAAAFU akitumika kama chombo cha kijasusi katika kudukua ili kulipa taifa lake leverage/UMBELE MBALI MBALI KATIKA NCHI WAZOZICHAGUA ikiwemo Marekani.Africa nk katika mambo ya kiuchumi nk.

Baada ya ripoti ya uchunguzi wa muda mrefu ya vyombo vya kijasusi vya Marekani zime RECOMMEND/SHAURI kuwa, simu ziitwavyo HUAWEI za China ziligundulika kuwa zinatumiwa na shirika la ujasusi la China katika UDUKUZI hasa katila masuala MAKUU mawili.
UCHUMI na KUIBA
TECHNOLOJIA.

Inasemekana HUAWEI inapoingia katika MTANDAO wa SIMU kitu kinacho fanyika ni kujua nani ni nani. na KU MODIFY/KUINUA juu teknolojia yao zaidi ya nchi mwenyeji ilikupata habari mihimu za NDANI wanazozitaka kwa MANUFAA ya nchi yao.

SWALI?
1.JeTISS yetu mnajua hayo? Na kama mnajua ni hatua zipi mlizochukuwa kuutahadharisha umma?

2.Je watumishi ndani ya TISS je ni SIMU gani WANAZORUHUSIWA kuzitumia na ni zipi WAZIZORUHUSIWA kuzitumia?. Maana ni lazima kuwe na official circular. La sivyo Huendas WACHINA wakajua nani hasa ni mkuu wa kitengo cha UCHUMI na ni nani na nani nani na wanakaaa WAPI nk. Na nini MIKAKATI ya KIUCHUMI ya Tanzania na ikiwemo UDHAIFU wao nk.

3.Je TISS mmechatoa USHAURI kwa VIONGOZI wetu wa sehemu NYETI KUTOINGIA Kwenye MIKUTANO NYETI BILA SIMU KAMA HIZO AMA ZINGINE MSIZOKUBALIANA NAZO?

4. Je maafisaa wa TISS wakati wa KUTUMA mawasiliano MIKOANI/WILAYANI AU /Makao makuu,kuna ilani kuwa ni HATIA KUWA na simu kama HIZO? .Ili KUZIBA mianya???

5. Je TISS mmewashairi nini MWAWAZIRI wanaonunua SIMU kiholela na kuingia nazo IKULU? bila kujua implications za KIUSALAMA?

Mimi si Security consultant bali RAIA wa kawaida tu.

Swali?
For How long WACHINA watakuwa mbele yetu katika mambo ya
MAKANDARASI,
USALAMA na
UCHUMI wetu kwa ujumla.
Kama HAMTATUTAHADHARISHA kama RAIA?
China si RAFIKI bali ni RAFIKI wa MASLAHI yake. Tusipolijua hilo ni hatari sana.

Wachina si WAJINGA kutupatia kila kitu kama misaada.
Sijui MAJENGO, COMPUTER, sijui nini.
Kuna kitu WANACHOKITAFUTA.

TISS Tusaidieni.
Pigeni marufuku MTUMISHI wa serikali kuwa na simu aina ya HUAWEI ama kampuni yeyote ya
ZTE ama yeyote ile mnayojua inaweza kuhatarisha hasa UCHUMI na Usalama wetu.
Tusipofanya hivyo basi MAJUTO ni MJUKUU!!
 

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
6,063
Points
2,000

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
6,063 2,000
Hii nchi chini ya huyu jamaa hovyo Wala isikupe hofu mkuu. No one is interested to spy on us and no one is interested to invade us too.

Uchumi gani Sasa mambo ya aibu ya makinikia? Do you think China will waste it's fakin time to spy on us, and for what??

It's only God who protect and provide for Tanzanians.

Tell me what help/aid does this regime gives Tanzanians?

Mleta mada Tuombe radhi aisee!

Magonjwa Mtambuka ISIS Pohamba jingalao stroke Mudawote barafuyamoto MOTOCHINI
 

mwayungi

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Messages
1,776
Points
2,000

mwayungi

JF-Expert Member
Joined May 9, 2017
1,776 2,000
Kwa akil yako ukaifananishe china,marekan na tanzania??
Akil kwel hzo??
Au ndo ukishakuwa 'great thinker' wa jf bx unajiona james bond tu hata nww ni joti

Great thinker,my foot!
Mkikatiwa misaada tu
Sasa mkuu akili zangu na comment yako tofaut kabisa soma tena nilichoandika
 

vous

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Messages
664
Points
1,000

vous

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2017
664 1,000
Level ya tiss ni kuwadukua na kuwahujumu CDM
Watu wnyw hadi sindano mnaagiza china
Stil unataka tanzania itunishiane misul na china
Mkinyimwa fadha za misaada na marekan mnawaka humu
Sasa na wachina wakitutenga si ndo tutabak uchi??

Au umetumwa na marekan uje utuchonganishe na wachina as anazidisha ushawish wake africa??

Kama hamna vya maana vya kuandika tuwekeen hata mada za kufunga mende aisee sio kutuletea nyuz za PROFESA POPAYE hapa
 

mwayungi

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Messages
1,776
Points
2,000

mwayungi

JF-Expert Member
Joined May 9, 2017
1,776 2,000
Watu wnyw hadi sindano mnaagiza china
Stil unataka tanzania itunishiane misul na china
Mkinyimwa fadha za misaada na marekan mnawaka humu
Sasa na wachina wakitutenga si ndo tutabak uchi??

Au umetumwa na marekan uje utuchonganishe na wachina as anazidisha ushawish wake africa??

Kama hamna vya maana vya kuandika tuwekeen hata mada za kufunga mende aisee sio kutuletea nyuz za PROFESA POPAYE hapa
Wewe jamaa soma vizuri comment zangu wewe unachoandika na nilichoandika wala haviendani
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
33,353
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
33,353 2,000
We are just too poor and too empty to be bugged!.
Wadukue siri gani kwetu, au waibe technology gani?, labda kama ni ile technology ya mambo ya kura!, zisipotosha, zinatosheshwa!, zisipojaa, zinajazilizwa, zisipotimia, zinatimilizwa, mtu anayetakiwa kushinda, asiposhinda, anashindishwa, na mbinu zote hizi zikishindikana, kuliko mshinda kushindwa, bora uchaguzi ufutwe!.
P
 

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
6,063
Points
2,000

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
6,063 2,000
Sasa mkuu akili zangu na comment yako tofaut kabisa soma tena nilichoandika
nadhani ALIKUWA anamjibu mleta mada. Msamehe watu wanna ghazab kichizi. Mimi Hapa bado sijalala na kesho morning Kali naamka maghazab ninayo tangu Akwilina walivyopokonya nafsi yaani
medieval-movie-myths.jpg
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
8,361
Points
2,000

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
8,361 2,000
Hao vilaza uliowataja ni wafia chama eg wakudadavua,mnyeti,kipara kipya,bashite hawa ndio watakushauri nini mkuu zaidi ya kupandikiza majasusi wao ndani ya CDM???Na kujaza matumbo yao vyakula na mivinyo ya ubatili??***** hii nchi tuanze upya tu hakuna kitu
Ni kweli vyombo vingi vya Dola kwa Tanzania sasa kazi yao ni kuidhoofisha chadema hayo mambo ya tekinolojia hawajui kitu
 

Mzee_Wa_Conspiracy

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
664
Points
500

Mzee_Wa_Conspiracy

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
664 500
Mkuu Hujakosea ila hatuna uwezo huo kwasababu

Mkuu
Kabla sijaanza kwa lolote Naombe nikukosoe, Katika hayo mashirika uliyoyataja CIA peke yake ni shirika la kijasusi ambayo inafanya kazi nje ya marekani.
Tuendelee na maada yetu
1> Tutambue kuwa kule marekani Simu zote Brands za kichina hazijapigwa marufuku kule US
2> Marekani na mchina wote wanatumia vifaa vyao vya technology kutufanyia ujasusi na sio wao peke yao takriban ni wote
3> Unajua kuwa huyu marekani ndio anaeongoza kutufanyia ujasusi kuliko huyo mchina? (Fuatilia ununuzi wa minara ya airtel na tigo) na vifaa vyao vyote wameweka backdoor na kwenda kule NSA.
4> hatuna ubavu wa kuzuiwa simu kutoka china wala kokote kwasababu hatuna za kwetu na wala usijidanganye kuwa Zile Iphone na hizi android hazi collect info zetu.
5> Tambua Hakuna nchi ni rafiki bali ni rafiki wa maslahi yake
 

Chige

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2008
Messages
9,075
Points
2,000

Chige

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2008
9,075 2,000
Kabla ya kuhoji ikiwa TISS inafahamu hayo, tujiulize je hiyo TISS iko well equipped kiasi gani kiteknolojia!

This isn't about FBI et.al kugundua waliyogundua bali it's about US Intelligence Agencies kuwa well equipped kiteknolojia na ndio maana huko kote kuna BIG Brains in IT world. Na hayo yamefanyika kwa sababu serikali ime-invest huko!

Now, serikali imewekeza huko TISS?! Is really TISS technologically advanced kuweza kugundua michezo ya kiitelejensia from technologically advanced countries like China?!

Hofu yangu ni kwamba ipo cku mtawahoji UDSM au DIT na program za kurusha satellite mwezini simply because mmesikia Massachusetts Institute of Technology wamefanya hivyo!

Kama tunategemea sana human and old school intelligence; usitarajie TISS wanaweza kuwa na control over such stuff!
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
8,361
Points
2,000

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
8,361 2,000
Zitto ametaka TISS ifumuliwe, sio hii ya kutupa watu kwenye viroba
Wapo wengine hutembea na bastora kwenye Bar utawasikia wakisema Unanijua mie ni nani? Wanapenda kuwatisha watu kwa neno hilo unajua mie ni nani? Kwa mikwara wapo vizuri kuliko hata CIA, KGB , FBI , Scotland Yard nk lakini tekinolojia bado hata wakenya pengine wanawazidi
 

Forum statistics

Threads 1,391,633
Members 528,440
Posts 34,085,796
Top