Tuna mashaka sana na Elimu yetu kwa sasa.

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,674
Reaction score
14,052
Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa.

Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka,

Naweza kuamini kwamba baadhi ya masomo kama vile Sayansi kimu,sanaa,michezo na kilimo yalikuwa ni sababu ya kuwaimarisha kimwili kiakili na kiroho bila kusahau masomo ya Dini.

Kwa sasa sijui watoto huko shuleni wanafanya nini,,,kimsingi naona kama wanapoteza muda tu sababu Elimu haiwasaidii bora wale wanaozungukwa na migodi wanafanya mambo ya maana kuliko hawa wa vipsi kum yai,

Zamani ukienda nyumba ya mtoto aliyemaliza form four inakuwa tofauti sana na nyumba isiyokuwa na mtoto mwenye Elimu hiyo,,,utakuta nyumba mazingira safi ...imepangiliwa vyema kama kuna kaeneo kidogo utakuta amelima bustani ya mboga kwa nyuma na mauwa kwa mbele...wazazi wanaweza kumsapoti wakatiamo na tumfugo,

Nyumba ya watoto wa darasa la saba angalau utakuta kuna mradi wa sungura tu kuku bstani ya mboga na tubiashara twa kuchuuza,

EEee bana eeeh ngoja niishie hapa napata hasira na kutaka KUMTUKANENI MAMAAAE
 
Nyumba ya watoto wa darasa la saba angalau utakuta kuna mradi wa sungura tu kuku bstani ya mboga na tubiashara twa kuchuuza,📌🔨
 
Uzuri kumekuwa na elimu huria, haipo kwenye mtaala rasmi wa elimu, ni mtaala ficho, mwanafunzi akimaliza shule/chuo kama hana sifa za kuajirika kwenye mfumo wa ajira anajiajiri mwenyewe kwa nguvu zake, akili zake, ubunifu, kipaji na ufundi.
 
Ambavyo alipaswa kuvipata shule.
 
Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa.

Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka,

Naweza kuamini kwamba baadhi ya masomo kama vile Sayansi kimu,sanaa,michezo na kilimo yalikuwa ni sababu ya kuwaimarisha kimwili kiakili na kiroho bila kusahau masomo ya Dini.

Kwa sasa sijui watoto huko shuleni wanafanya nini,,,kimsingi naona kama wanapoteza muda tu sababu Elimu haiwasaidii bora wale wanaozungukwa na migodi wanafanya mambo ya maana kuliko hawa wa vipsi kum yai,

Zamani ukienda nyumba ya mtoto aliyemaliza form four inakuwa tofauti sana na nyumba isiyokuwa na mtoto mwenye Elimu hiyo,,,utakuta nyumba mazingira safi ...imepangiliwa vyema kama kuna kaeneo kidogo utakuta amelima bustani ya mboga kwa nyuma na mauwa kwa mbele...wazazi wanaweza kumsapoti wakatiamo na tumfugo,

Nyumba ya watoto wa darasa la saba angalau utakuta kuna mradi wa sungura tu kuku bstani ya mboga na tubiashara twa kuchuuza,

EEee bana eeeh ngoja niishie hapa napata hasira na kutaka KUMTUKANENI MAMAAAE
Mkuu! Unabofya na kuandika ili chapisho ukiwa wapi?

Mimi na familia yangu tunaishi hapa PALM VILLAGE floor ya 5, hizi mboga mboga na kufuga tukuku na tusungura watoto watafanyia wapi.
 
Baada ya ukoloni ,so walitaka kuwa na vibaraka wao ndio wakaita "ELIMU"...Ndio maana kama una akili utajua tu : kwa nn Rais wa afrika ni lazima awe na kigezo cha elimu ya mzungu ili apate kugombea?

Tulipigwa parefu maana kule mwanzoni watu wengi walikuwa na akili ,ila kwa sasa miaka mitatu kashaingia kwenye mfumo wa elimu ya kijinga ..Hapo anaanza daycare ,huko anaanza kufundishwa upumbavu mpaka anafika miaka 23 .

Miaka 23 yuko assimilated ,anaweza kuajiri nje ya nchi ili ajue kingereza vizuri sana ,anaanza kufuatilia mambo ya nje mpaka kudharau asili yake. Elimu yake haiwezi kutambua mazingira yake ,anajiona kachelewa ila ndoto yake ni kula maisha wakati hizo nchi zimetoka huku.

Ukiingia mtandaoni ndio usiseme , wananadi kazi za huko kiasi unaweza kusema waafrika wote wanaseka ..Eti mje huku ughaibuni kufanya kazi ,hapo akili yake kuajiriwa tu
 
Mitaala nayo pia ni pasua kichwa..mtoto wa darasa la tatu miaka 8 anasoma mamilion mfano, 9,439,200+8,250,000=? Mtoto wa darasa la tatu anasoma vitu vya sekondari vya wakati ule mfano Biologia,Fizikia na Kemia Masomo lundo unakuta begi analovaa mpaka linamzidi uzito sijui hapo baadaye tutawatibu vip migongo yao..Kutokana na Bongo zao kubebeshwa malundo ya masomo magumu wengine inapelekea kuichukia shule..Elimu bure sawa lakini......Sasa wale watoto ambao bongo zinaload taratibu aiseee Shughuli ipo naludia tena Shughuli ipo..Hvi hawa waandaani wa mitaala ya elimu wanadhani wote ni maginius kama wao? kiukweli kwasasa Elimu ya Msingi sio ukombozi kwa mwanafunzi bali ni kumkomoa Mwanafunzi..Faida ambayo ni moja ilimladi ajue kusoma na kuandika.
 
Elimu imepoteza thamani yake haraka sana
utakuta mtu hana elimu hata ya saba, hana elimu ya ngumbaru ana hela zake kaanzisha shule/chuo halafu anaajiri wasomi na kuwalipa posho apendavyo. Mkizinguana anakutimua na huna pa kumshitaki kwa kuwa huna mkataba wa kueleweka kumfanyia kazi. Wanaanzisha miradi ya kuajiri wasomi huku hawana ujuzi nayo, wanadharau wasomi sana hawa ngumbaru wenye hela
 
Kama unaishi palm village na unapamudu bila ukakasi wowote basi kichwa chako kimebeba mavi ndiomaana unataman kufuga kuku sungura na vibustan alafu sehemu yakufanyia hayo yote huioni pia napatwa na mashaka kama apo palm unapamudu ila unashindwa kumuwezesha mwanao aliepata elimu yakisasa na asielimike (SAMAHANI NIMETUMIA LUGHA YENYE SHUBIRI NA UKAKASI)
 
kwahiyo unataka mtoto aendelee kulima mashuleni? kuhusu mradi wa sungura na kuku atafugia wapi wakati wanakaa nyumba za kupanga chumba na sebure?,,

labda kama unazumgumizia maisha ya kijijini,, ila kama umewajumlisha wote, kuna nafsi unazikosea
 
Sebule✅
 
utakuta mtu hana elimu hata ya saba, hana elimu ya ngumbaru ana hela zake kaanzisha shule/chuo halafu anaajiri wasomi na kuwalipa posho apendavyo. Mkizinguana anakutimua na huna pa kumshitaki kwa kuwa huna mkataba wa kueleweka kumfanyia kazi. Wanaanzisha miradi ya kuajiri wasomi huku hawana ujuzi nayo, wanadharau wasomi sana hawa ngumbaru wenye hela
Ni huzuni kubwa kwa kweli
 
Utakuta kijana ana elimu ya chuo kikuu anaenda kuajiriwa na asiye na elimu, halafu anapelekeshwa balaa, anasimamiwa kooni afanye kazi na asiye na elimu, mfanyabiashara aliyejichanga akaanzisha shule/dispensari
 
Kuna jamaa mmoja mtaani aliishia la saba, ni mjanjamjanja/ni bodaboda. Kaanzisha kikampuni cha ujenzi anapata tenda mpaka serikalini. Yeye ndiye bosi anaajiri vijana wenye elimu ya fani hiyo ya ujenzi. Ameanzisha group la whatsaap na kuwaaunga schoolmate wote wenye ajira za kudumu ili waanzishe kampuni ya kuuza dawa za binadamu ila kakutana na changamoto ya kukataliwa na badhi ya classmate wake wakihofia michango yao kupigwa na huyo jamaa mjanjamjanja wa kutumia elimu za wenzake huku ye hana, ameishia la saba tu
 
Back
Top Bottom