Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 30
Watanzania tuna lipi la kujivunia kama hii report ya Human Development Index inavyyonyesha tupo kuleeeeeeeeeee mwisho kabisa hata Uganda na Vita, Njaa, Umasikini, n. k bado wametupita shame, shame wewe na mimi . Shame kwa Kikwete na Viongozi wote. Nadhani nanze kufikiria kuukana Utanzania
Rushwa na Ufisadi tupo, Umaskini tupo, Maradhi tupo, Elimu ndogo tupo, Urichard (ngono)tupo. Je tunalipi la kujivunia???????
soma hii habari http://info.worldbank.org/etools/docs/library/117324/TanzaniaBenchmarkingAssessment72104.pdf