Tuna lipi la kujivunia watanzania?

Bowbow

JF-Expert Member
Oct 20, 2007
541
31
Watanzania tuna lipi la kujivunia kama hii report ya Human Development Index inavyyonyesha tupo kuleeeeeeeeeee mwisho kabisa hata Uganda na Vita, Njaa, Umasikini, n. k bado wametupita shame, shame wewe na mimi . Shame kwa Kikwete na Viongozi wote. Nadhani nanze kufikiria kuukana Utanzania

Rushwa na Ufisadi tupo, Umaskini tupo, Maradhi tupo, Elimu ndogo tupo, Urichard (ngono)tupo. Je tunalipi la kujivunia???????
soma hii habari http://info.worldbank.org/etools/docs/library/117324/TanzaniaBenchmarkingAssessment72104.pdf
 
Amani na utulivu!

ha ahaha ha ahaa yaani umenichekeshaa wewee...na kweli tujivunie amani na utulivu na ujinga wa sie watanzania..cz ingekua nchi nyingine ndo viongozi na serikali ndo hii vita ingekua hata ya majirani zetu ndogooo
 
labda kwa sasa tujivunie serikali yetu ya mafisadi na ya kishkaji...ambayo ina kila sifa mbaaaya...hivi ni lipi la maana saana serikali hii imeshafanya so far?
 
Mambo yanazidi kuwa mabaya kama tukisoma report ya Primary Scholl result, na tusubiri matokeo ya Form 4 ambayo yatatoka sometime January au early January hali inatisha.

Kama tunaamani mambo yako hivi Je amani ikitoweka itakuaje?
 
Warembo!
Tz tuna waschana warembo na wapole sana- tofauti na Kenya, Uganda- haswa wanawake wetu wa Kizanzibari!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom