Elections 2010 Tuna kila sababu ya kukichukia chama cha CCM..

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
2,569
497
Watanzania tuna kila sababu ya kukichukia chama cha ccm bila kujali itikadi za vyama vyetu....Ni aibu sana kumsikia fisi wa ahadi namba 4 akitangaza nia yake ya kugombea uspika wa bunge na viongozi wa kitaifa wa ccm wakishuhudia bila kujutia yaliyo watokea kwenye uchaguzi na kampeni kwa ujumla. hakuna hata mtoto mdogo asiyemjua chenge kuwa ni fis wa ahadi alafu chama kinampa baraka za kugombea uspika wa bunge...kwanini wasimuache mh Sitta aendelee na usukani wake..? au kwa sababu amewatoa kamasi kwenye bunge lililopita...? au kwa sababu kaahidi kuwashughulikia kuliko ilivokuwa mwanzo...? hichi ni kizungumkuti cha mwaka 2010 walahi akipewa uspika mimi nanunua uraia mwingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom