Tuna judge kwa Avatar?

dadafua zaidi kitu gani sikijui.






ina mana nyingi na apply na wenye tabia ya kukutongoza kutwa pm.

Wewe hujui jinsi ya kuuhandle upuuzi...

Ok. Sijawahi kudhani kwamba mnakumbana na matongozo huko PM
 
Wewe hujui jinsi ya kuuhandle upuuzi...

Ok. Sijawahi kudhani kwamba mnakumbana na matongozo huko PM



kwa msada wako nitajifunza ili bado sitaki mpuzi yoyote mbele yangu BTW hio avata naona kweli ya wkend.
 
Clothes Dont Make a Pirate.... au ..
Do they...?
kwahiyo wasiokuwa na AVATAR ni kama ma-GHOST
 
Hii thread mbona imekaa kimipasho hivi......lol.....?
acha nisepe zangu......mmh!
 
Back
Top Bottom