Tuna judge kwa Avatar?

Ila mkuu ukisoma sentensi mbili tu unajua kuwa huyu mtu anapretend gender...

nakubaliana na wewe mkuu, Guyz tumia jf vizuri .. ! kuna dili zinatakiwa kufanyika kwa imani tu, ukianza kwa kudanganya vitu vidogo unatengeneza imani ndogo juu yako. you have nothing to loose by doing so
 
acha kujionesha tu maneno yako huuwiana na avata punguza ukali bibie.

Unajua Romance mwanzoni sikukushtukia kutokana na avatar yako, lakini sasa nimegundua hata wewe ni mkali? (I mean una lugha ya ukali)...
 
Itakuwa kituko sasa lkn sio kama angeiweka mwanzo yeye ingekuwa molded na jina lake.

Japo kuwa sielewi utafananisha vipi Mwanakijiji aweke Avatar yenye picha ya mwanamke

KUMBE WEWE NI MWANAMKE nA MWANAKIJIJI NI MWANAUME? NASHUKURU KWA KUNIJUZA NILIKUWA SIJUHI
 
Unajua Romance mwanzoni sikukushtukia kutokana na avatar yako, lakini sasa nimegundua hata wewe ni mkali? (I mean una lugha ya ukali)...

ndio mana niweweka avata ambayo ukiona kwa mara ya kwanza lazima unipotezee na kuniona sina mana nataka uni judge tokana na post

mimi ni mpole lakini sivumili upuuzi.
 
Kaaazi kweli kweli.Siwezi kupunguza pale unapohitajika unaonekana na kwa kuchekeana na kugonga viganja inakua hivyo!!

usiache wewe punguza ukiacha ukali watakupanda wa jf hawana mazuri.
 
ndio mana niweweka avata ambayo ukiona kwa mara ya kwanza lazima unipotezee na kuniona sina mana nataka uni judge tokana na post

mimi ni mpole lakini sivumili upuuzi.

Kuna kitu ambacho hukijui kuhusu wewe...
 
Nitake radhi plz, mimi siyo zezeta! Naona unajitafutia ban

moz-screenshot-4.png

NIMEANGALIA HII AVATAR NA MAJIBU YA REAJO, nimecheka mpaka basi
 
Back
Top Bottom