Tuna judge kwa Avatar?

unaweza ona hii post ni mzaha but avata hapa jf inacheza nafasi kubwa imagine mwanakijiji aweke avata kama ya gaijin.

Sometimes hata majina. Kuna mtu ana ID Mwendawazimu. akipost kitu kila mtu anamwambia ni kwa sababu wewe mwendawazimu...
 
hajafanya kitu ila tu inaendana na michango yako itakua kituko howeva akiiweka mwanakijiji.

Itakuwa kituko sasa lkn sio kama angeiweka mwanzo yeye ingekuwa molded na jina lake.

Japo kuwa sielewi utafananisha vipi Mwanakijiji aweke Avatar yenye picha ya mwanamke
 
Sometimes hata majina. Kuna mtu ana ID Mwendawazimu. akipost kitu kila mtu anamwambia ni kwa sababu wewe mwendawazimu...

ndio mana nakushanga una luzi confidence kua topic ni mzaha hali sio sasa mfano rejao pale utamchukulia serias labda apost kitu jokes.
 
Itakuwa kituko sasa lkn sio kama angeiweka mwanzo yeye ingekuwa molded na jina lake.

Japo kuwa sielewi utafananisha vipi Mwanakijiji aweke Avatar yenye picha ya mwanamke

usizunguke sana hapo nilipo bold maneno yako ndo maana yake na pili uko na vitabu hapo ambavyo vinaonesha vimekushinda picha ambayo

haiendani na mwanakijiji.
 
Dahhh
Hii thread imekaa
Kiumbea na kusema watu..

Haya
Happy weekend Tuko..
 
usizunguke sana hapo nilipo bold maneno yako ndo maana yake na pili uko na vitabu hapo ambavyo vinaonesha vimekushinda picha ambayo

haiendani na mwanakijiji.

Vimenishinda eee .......kweli hata kusoma picha ni tabu kwa watu wengine.

Hiyo avatar imeandika bookworm certified ....
 
Dahhh
Hii thread imekaa
Kiumbea na kusema watu..

Haya
Happy weekend Tuko..

sio kabisa ajabu kua unaaga mana avata yako inanipa picha ni mpole na hupendi sengenya but uzuri wa hapa ni kua hatusemi kwa nia mbaya

ila kwa kuelimishana ndio mana hatujatumia pm.
 
Vimenishinda eee .......kweli hata kusoma picha ni tabu kwa watu wengine.

Hiyo avatar imeandika bookworm certified ....

unfortunately a bookworm so disorganized where as kwa mwana kijini you picture him reading a single book at a time akiwa na pipe mdomoni

huku kavaa msuli na kaketi kwa raha zake kwenye mkeka huku akisikiliza aljazera.
 
Whatever floats your boat girl
 
We sio zezete bana, hilo kila mtu anajua. Lakini avatar yako..... duh! Sorry....
Haya mkuu...But fahamu watu wanatumia ID' na Avatar za ajabu ili kuficha their true identities! Wewe utabaki unafanya imaginations zako
 
Lizzy naona unajibu siriaz sana. Ukweli nikuwa hii topic haina ukweli, but kwa kuangalia avatar yangu ilivyo siriaz, umedhani namaanisha... lol
Avatar yako hata sijui inafananaje.Alafu if i may ask....inakuaje unasema ulichoandika hakina ukweli ika matokeo yana ukweli?!BTW kama ungekua umenisoma vizuri ungegundua kwamba nimejibu kimzaha kama post yako ilivyokaa...
 
Mtoa mada mbona hujiamini hivyo? Hebu tetea hoja yako bana acha mambo ya kutuvuruga akili.. mara sijui unatania.. mara sijui nini.. kama ni utani una jukwaa lake au sio..
 
Mtoa mada mbona hujiamini hivyo? Hebu tetea hoja yako bana acha mambo ya kutuvuruga akili.. mara sijui unatania.. mara sijui nini.. kama ni utani una jukwaa lake au sio..

sasa hapa inapotokea watu wakachukulia serious ndo anaanza kujiamini hali toka mwanzo mada ilikua imesimama. sad.
 
najua hua unajibu binafsi but una influensi tokana na mchango wako mwingi kua positive hivyo yule mwenyewe hana upambanuzi anaangila lizzykajibu nini anaka hua upande.
Heeheh labda.Ila kufuata mkumbo ipo hata mimi nimeshaona sema tu haikua mie nliefuatwa!!
 
Watu ni kweli wanatumia avatar kuficha ID. Lakini wanafanya hivyo wakiwa wanajitambua meaning they made choice. Kwa hiyo watu wa saikolojia wanaweza kujua tabia yako tokana na picha uliyochagua. Nina hakika kila mtu ana sababu iliyomfanya achague avatar alonayo. Na haina maana kuwa unatabia mbaya au nzuri kwa sababu ya uchaguzi wako, but you must have a story behind your choice and that relates to your personality traits.

Haya mkuu...But fahamu watu wanatumia ID' na Avatar za ajabu ili kuficha their true identities! Wewe utabaki unafanya imaginations zako
 
huuu uzi umekaa mkao wa kusubiri muda wa kazi uishe weekend ianze...kikao kitakkuwa wapi mkuu Tuko ili ukipata mombe usiriaz uishe.
 
Heeheh labda.Ila kufuata mkumbo ipo hata mimi nimeshaona sema tu haikua mie nliefuatwa!!

naweza kua nilikua burn lakini ni mfuatiliaji mzuri na michango yako mara nyingi imesimama hivyo pale wewe ukisema tu crap mwenye uzi anaishiwa \
nguvu kabisa hata kama uzi wa mana mfano mzuri tuko kaanza kuomba msamaha kwamba alikua anatania sijui mmu imekua jukwa la jokes lini,
 
Back
Top Bottom