P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 625
Umeshindwa kuficha mapenzi uliyonayo juu ya CHADEMA.
Huyo ndiyo Mzee Tupa Tupa wa Lumumba.
Umeshindwa kuficha mapenzi uliyonayo juu ya CHADEMA.
Ingekua chama cha INTARAHAMWE HAPO uchaguzi unafanyika guest houses wajumbe walipofikia dom, BASHE,magreth sitta,BULEMBO na MKONO wangekua wanatembeza bahasha tuu hapo
Wewe ni Mwana chadema uliye CCM! Ni kweli chadema hawana cha kujifunza kutoka CCM? Ulishawai kuwaona wanasifia hata jambo moja?
Vuta ni kuvute umevutwa hadi chadema!
Umeshindwa kuficha mapenzi uliyonayo juu ya CHADEMA.
Kwa hiyo ulitaka atumie jina Gani kuilezea Chadema.
Ilani ya chadema ilikuwa ni kuhakikisha kuwa nchi haitawaliki labda hujui vema unachokisema.
Huyo ndiyo Mzee Tupa Tupa wa Lumumba.
Sijaona cha kujifunza kutoaka chadema zaidi ya ukabila ,ukanda na kufanya vurugu ambazo siyo za lazima.
Umeshindwa kuficha mapenzi uliyonayo juu ya CHADEMA.
vuta nikuvute mganga njaa hakuna cha kujifunza hapo..
Unapatikana IrambaHuyo Mwehu mwenzenu Tupa tupa anafahamu napatikana kona ipi katika jiografia ya nchi hii? Au anapiga porojo tu kuwafurahisha?
Sijaona cha kujifunza kutoaka chadema zaidi ya ukabila ,ukanda na kufanya vurugu ambazo siyo za lazima.
Sijaona cha kujifunza kutoaka chadema zaidi ya ukabila ,ukanda na kufanya vurugu ambazo siyo za lazima.
MSALANI kila siku kwenye LB7 caucus pale Lumumba tunasema jadili hoja na siyo eti mleta hoja ana mapenzi na CDM.
Kwa mtindo huu tutapokea hiyo Ipad ya chama tumpe hata Doto Rangimoto manake wewe umeshindwa kazi.
Kumbuka boss wetu alishasema
au hukusoma?