Tuna cha kujifunza kutoka CHADEMA

Tuna cha kujifunza kutoka CHADEMA

Acha wivu wewe mbona mmekopi mengi? Kuanzia chopa hadi sasa kina Nape wanavaa magwanda!

Hivi CHADEMA ndio waasisi wa magwanda?
Mbona mgambo wanayavaa kabla hata Mtei hajafikiria kuanzisha hiyo SACCOs yenu?
 
Sijaona cha kujifunza
kutoaka chadema zaidi ya ukabila ,ukanda na kufanya vurugu ambazo siyo
za lazima.

wivu ni kidonda.......
Mwenyekiti wako anaongoza nchi kwa kuiangalia chadema. Na kama Sio Chadema angekwisha ikimbia nchi
 
Ww tulia dawa iingie vizuri ili ugonjwa ulionao upone, kwenu hiyo ccm imefanya nn? Amka acha ushabiki wakijinga ccm ni majanga.
 
Uchokozi uanze wewe, ukichapwa unakimbilia kwa Mods. Kweli majanga! Mzee Tupa tupa amesema atazikusa hizo tablets za chama ili mkose ajira.

Huyo Mwehu mwenzenu Tupa tupa anafahamu napatikana kona ipi katika jiografia ya nchi hii? Au anapiga porojo tu kuwafurahisha?
 
Umeshindwa kuficha mapenzi uliyonayo juu ya CHADEMA.

Chadema ni kama maji. Usipoyanawa utayanywa, usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utachambia....Huwezi kuacha kuipenda Cdm...
 
Simiyu yetu kama hujaona cha kujifunza basi unamatatizo mengi. Umeisha ona bahasha zikizunguka? Umeisha ona ndani ya ukumbi kampeni zinafanywa? Acha unafiki, kweli Chadema wanastahili sifa.
 
Hivi CHADEMA ndio waasisi wa magwanda?
Mbona mgambo wanayavaa kabla hata Mtei hajafikiria kuanzisha hiyo SACCOs yenu?

Kama ni ya mgambo mbona mnayaiga? Au unataka kutwambia Nape ni mgambo kasoro kirungu?
 
Mbowe kaalikwa kufungua mkutano ila kaamua kukomaa hatoki yupo tangu jana kuangalia nidhamu ili uchaguzi uende kama ilivyopangwa ili kupata mgombea alie pangwa kupatikana na Mbowe
 
Simiyu yetu kama hujaona cha kujifunza basi unamatatizo mengi. Umeisha ona bahasha zikizunguka? Umeisha ona ndani ya ukumbi kampeni zinafanywa? Acha unafiki, kweli Chadema wanastahili sifa.

Ameshaona migodoro na kanga moko?
 
Huyo Mwehu mwenzenu Tupa tupa anafahamu napatikana kona ipi katika jiografia ya nchi hii? Au anapiga porojo tu kuwafurahisha?

Alishasema atakusanya vitendea kazi vyenu na id za chama atafunga shauri yako wewe.
 
Chadema tumekwenda kwa hatua zote muhimu za ukuaji wa chama toka mwanzo mpaka tunachukua nchi 2015,ina wanamikakati,wanamaono,wajenga hoja mpaka wanamipango kuhakikisha kila hatua moja inazaa hatua nyingine kwa mpangilio wa mambo na matukio.Hili ndilo jambo linalowafanya watanzania kuyakumbuka maneno ya B.wa Taifa ya kwamba Chadema ndo chama kinachoonekana kuweza kujipanga kupewa nchi na sasa mipango ndo hiyo.Karibu sana mzee wa lumumba na karibu CDM
 
Acha uongo mtu mzima wewe.

sio uongo nakwambia ukweli Mbowe ali alikwa tu jana afungue mkutano lakini hajatoka tangu jana! amekaa meza kuu ana angalia uchaguzi unaendaje na kutoa maelekezo ya vitisho
 
Mzee Tupatupa LUMUMBA, wewe ni baadhi ya wazee wachache ambao mimi na hata wenzangu humu tunawaheshimu kwa maneno yako ya hekima.

Ila naona ni kama unapoteza muda kwa sababu MAGAMBA huwa hawaamini kwamba kuna hata jambo moja ambalo wanaweza kujifunza toka kwa wapinzani wao wa kisiasa, na hili ndiyo tatizo kubwa la chama hiki kikonge ambalo limepelekea sasa chama hiki kupoteza dira na mwelekeo.
 
Back
Top Bottom