technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Sasa mkuu unataka hizo fedha zitumike halafu baada ya hapo??
Akiba hutumika pale njia zote zipofunga. Ndio unatumia tena kwa akili. Hata ukiwa na kibubu huwezi kukivunja kwa shida ambayo unaweza itatua bila kuvunja kibubu. Kuvunja kibubu ndio inakuwa option ya mwisho kabisa.Hiyo Akiba ndio muda wake huu kutumika, au hujui kuwa hiyo akiba ni ya kutumika kwa mazingira haya? Je kama hazitatumika sasa, hizo fedha ni akiba kwa ajili ya hali gani?
Kwa hiyo sababu ya chuki na mkuu wa nchi ndio ukaamua kuunganisha ujumbe wako na kichwa cha habari! Alafu mpaka sasa kuna mapungufu yoyote katika kuhudumia hawa waliougua kwa bahati mbaya mpaka anyofoe toka akiba iliyopo?Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Una njia ya kupata fedha,why ufumue akiba yako na ukizingatia hali ya uchumi kipindi hiki?Hiyo Akiba ndio muda wake huu kutumika, au hujui kuwa hiyo akiba ni ya kutumika kwa mazingira haya? Je kama hazitatumika sasa, hizo fedha ni akiba kwa ajili ya hali gani?
Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Tunazidiwa na nchi kama Rwanda, Kenya, South, Misri, Ghana na nigeria wote wametoa pesa hazina kiasi kuokoa uchumi.
Midomo yenu inaponza WB imetuondo katika ule mgawo wa 37B za mwanzoKwahiyo unataka hela yote ya hazina itumike kutibu korona?
fedha zikiisha na korona akazidi kupamba moto kipi kitafuata?
Tujaribu kutumia akili na sio mihemko ya kisiasa hasa kwenye mambo ya Kitaifa.
na hili janga tena ndio limemuacha jiwe bila nguo kabisaZa kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Tunazidiwa na nchi kama Rwanda, Kenya, South, Misri, Ghana na nigeria wote wametoa pesa hazina kiasi kuokoa uchumi.
Je serikali haina taarifa kwamba kuna kiwango cha mitaji kimeshaanguka? Je bado hawana taarifa kuna watu washapoteza ajira? Wamefanya nini kuokoa sector ya utali Tanzania? Je wanafanya nini kwa watu waliokuwa wamekopa?
Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Tunazidiwa na nchi kama Rwanda, Kenya, South, Misri, Ghana na nigeria wote wametoa pesa hazina kiasi kuokoa uchumi.
Je serikali haina taarifa kwamba kuna kiwango cha mitaji kimeshaanguka? Je bado hawana taarifa kuna watu washapoteza ajira? Wamefanya nini kuokoa sector ya utali Tanzania?
Je wanafanya nini kwa watu waliokuwa wamekopa uku wakiwa wanatoa ajira kibao kuweza kuwaondolea malejesho angalau kwa miezi 3 ili kulinda ajira za walahoi?.