Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?

Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?

Tumuamini polepole, pale magufuli alikua akiongea kisiasa, ni wazi na ukweli usio kuwa na shaka magufuli hakuwa chaguo la kikwete.

Hata mimi ningeongea kama magufuli mbele ya kikwete ila hata kikwete alijua ndio maana akawa anacheka kiasi kile.
 
Ukweli utabaki kua ukweli. Kikwete alilazimika kukubali baada ya kete zake kushindwa. Mwamba kampamba ki protocal, tu ila kila mtu anajua kua Kikwete ndio deal maker.
Pole sana hater wa Kikwete. Ndo hivyo hamumuwezi huyo JK hata mfanye nini
 
Wezi wote hao
Huyu Polepole hana ufisadi wowote na Huyu alikua mtu wa itikadi atafanya kitu huku anajua nn matokeo yake. Mimi kwangu natakakujua tuu ule mchakato wa uchaguzi 2020 na yeye Alishindwa Kumshauri boss wake au WAHUNI Ndio walipendekeza
 
Pole pole kiboko eti JPM alimuita kumuomba ushauri, acheni bwana Kikwete angetaka kuleta fitna angeweza alikuwa mwenyekiti. Ikiwa leo watu wanamshutumu anaweza kufanya lolote sasa angeshindwa nini wakati ule ndio kashika chama? tuacheni hizi porojo.
 
20220717_224936.jpg
 
Back
Top Bottom