Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
ni mambo ya kiofisi hayamuhusu huyo mume wala ofisi hailazimiki kumjibu barua yake. sana unaweza kumwambie ni utovu wa nidhamu details amuulize mkewe.
By 'fuata utaratibu wa ofisi', i basically meant ya ofisini yabaki ofisini. Hii issue iko sensitive balaa, sio tu kwa ndoa ya huyo Mama ila hata kwa ofisi, ni aibu kubwa na ofisi yoyote makini wangepambana ibaki confidential. Now, Chief hapa kamwaga karibu details zote za muhimu
1. Kataja race ya Boss na uraia wake.
2. Kaelezea tukio zima.
3. Kanukuu mpaka vifungu vya barua ya Mume wa huyo Mama.
Kama huyo Mume, au watuhumiwa, au hata wafanyakazi wengine waliokuwa hawaijui hii issue kiundani, na hata watu wa karibu wa familia husika wamo humu na wameisoma, wanaweza kuunganisha hizo dots na kupata mchezo mzima. Halafu Chief kamaliza kwa kuomba samahani kwa wahusika kama wapo humu na wataiona hii story, are you serious man??
Sijui bana, ila kwangu this is just another story, he had me mwanzo.
Wakuu,
Kuna staff hapa kwenye shirika letu ni mke wa mtu ameshikwa live akifanya mapenzi na jamaa mmoja hivi ambae ni mume wa mtu pia ofisini bahati mbaya aliewashika ni bosi wao ambae ni Raia wa Canada. Walisubiri staff wengine waondoke ndipo wakaanza kufanya ndani ya chumba cha ofisi, unfortunately huyu mCanada akarudi ofisini alisahau kitu akaona taa zinawaka kwenye chumba kingine akaamua aangalie kama bado kuna mtu, ndio akawafuma wakifanya zinaa.
Kwa sasa tumewasimamisha wakati uchunguzi ukiendelea kama sheria za kazi zinavyotaka na policy ya shirika pia, tayari walishaleta barua za kujieleza. Hivi karibuni mume wa huyu mama kaja kuniona kupata undani wa tatizo la mkewe, alitaka kujua ni kwanini tumemsimamisha mkewe kazi na tumetumia vigezo gani.
Bahati mzuri/mbaya malalamiko yake ameweka kwenye maandishi kwa njia ya barua ni mzee wa kikoloni hivi very conservative. Nikamwambia nitakujibu kwa barua pia utaikuta kwa secretary siku flani.Sasa wakuu miim kama Human Resources business partner wa hapa kwetu nalazimika kutunza siri za staff, tumelichanganua na wenzangu wakadai hatuwezi kumficha mume jambo zito kama hili.
Hivyo bado sijaridhika na majibu ya viongozi wenzangu hivyo nije kwenu wana JamiiForums kupata opinion zaidi maana humu nna uhakika kuna viongozi maofisini na kuna wasomi wengi tunaweza kuchanganua kwa pamoja suala hili. Mara ya mwisho nilikuwa na tatizo la kikazi kama mjuavyo idara ya Human Resources ina changamoto nyingi nikaja hapa kuomba ushauri nikapata msaada mkubwa sana.
Naomba nisieleweke vibaya, yapo mambo ya kikazi yana vikao vyake hayahitaji kuja hapa ila kuna yale ya kikazi ambayo yamekaa kijamii kama hili yenyewe nimeamua niwe nawashirikisha kwa mawazo.
Swali;
Nimjibu mume kwamba mkewe alishikwa akifanya mapenzi ofisini?
Mkewe kaja kazini Jana na kunipigia magoti kwamba nimdanganye mumewe kuwa amesimashwa kaingizia kampuni hasara.Kwamba mimi ndio nimeshikilia ndoa yake kwa sasa, kwamba akiachika na umri huo ataenda wapi?Situation ni very tricky na mwisho sijui EXCOM itaamua nini kuhusu hawa watu wawili
Your opinion please
NB:
Kama wahusika wa hili sakata wamo humu ndani, I do regret in advance for inconvenience caused in one way or another.
Mkuu we unaifahamu kampuni inayozungumziwa hapa?
Huyu hr unamfahamu hata kwa jina au sura?
Makampuni mengi hivi visa vipo kwa ma hr wengi tu
Kuna makampuni zaidi ya 1000 dar peke yake
That's why kaja jf na sio insta au fb
Ndugu ofisa rasimali watu,
Tayari umeshavujisha siri za kiofisi. Pili kama wadau walivyokwisha sema hapo awali kwamba mwajiri na mwajiriwa ndiyo sehemu ya mkataba kati yao. Mume ni mtu wa tatu na hana mamlaka ya kutaka kujua kuhusu masuala ya kiofisi yanayomuhusu mumewe.
Siku nyingine, as per HR ethos, wasiliana na wanasheria wa ofisini kwako kupata ushauri na muongozo pindi unapokutana na masuala kama haya na si kukimbilia vyombo vya kijamii kama hiki.
Wasalaam,
Shadow.
Mkuu BAK, kwani ofisi ina wajibu gani wa kumwambia mume kwanini mke amesimamishwa kazi? Huyo mume si amuulize mkewe? Hivi kesho mjomba mtu akija akaandika barua kutaka kujua kijana wake anayefanya kazi pale analipwa shilingi ngapi huyu HR atakuja tena hapa kutuuliza afanyaje? Huyu HR naye nina wasiwasi na qualifcations zake!!!!
Tiba
Ushauri wa mwisho na wakufanyiwa kazi ni huoDhambi ya uzinzi hata kwenye Biblia ndio imeruhusiwa watu kuachana. Huyo mwanamke ni mpumbavu, kama alitaka kufanya uzinzi angeweza kufanya hata Gesti ila sio ofisin kwa mtu. Ipo siku ataweza mleta mwanaume kitandani kwa mmewe.
Mimi nashauri mume aambiwe ukweli, ukweli ukijulikana utasaidia kufumbua tatizo lako, kufumbatia maji kama jiwe ni ujinga. Mpeni tu ukweli, siku zote ukweli unaleta haki na Na uongo haudumu.
Labda mmewe lawyer/advocate?
Wakuu,
Kuna staff hapa kwenye shirika letu ni mke wa mtu ameshikwa live akifanya mapenzi na jamaa mmoja hivi ambae ni mume wa mtu pia ofisini bahati mbaya aliewashika ni bosi wao ambae ni Raia wa Canada. Walisubiri staff wengine waondoke ndipo wakaanza kufanya ndani ya chumba cha ofisi, unfortunately huyu mCanada akarudi ofisini alisahau kitu akaona taa zinawaka kwenye chumba kingine akaamua aangalie kama bado kuna mtu, ndio akawafuma wakifanya zinaa.
Kwa sasa tumewasimamisha wakati uchunguzi ukiendelea kama sheria za kazi zinavyotaka na policy ya shirika pia, tayari walishaleta barua za kujieleza. Hivi karibuni mume wa huyu mama kaja kuniona kupata undani wa tatizo la mkewe, alitaka kujua ni kwanini tumemsimamisha mkewe kazi na tumetumia vigezo gani.
Bahati mzuri/mbaya malalamiko yake ameweka kwenye maandishi kwa njia ya barua ni mzee wa kikoloni hivi very conservative. Nikamwambia nitakujibu kwa barua pia utaikuta kwa secretary siku flani.Sasa wakuu miim kama Human Resources business partner wa hapa kwetu nalazimika kutunza siri za staff, tumelichanganua na wenzangu wakadai hatuwezi kumficha mume jambo zito kama hili.
Hivyo bado sijaridhika na majibu ya viongozi wenzangu hivyo nije kwenu wana JamiiForums kupata opinion zaidi maana humu nna uhakika kuna viongozi maofisini na kuna wasomi wengi tunaweza kuchanganua kwa pamoja suala hili. Mara ya mwisho nilikuwa na tatizo la kikazi kama mjuavyo idara ya Human Resources ina changamoto nyingi nikaja hapa kuomba ushauri nikapata msaada mkubwa sana.
Naomba nisieleweke vibaya, yapo mambo ya kikazi yana vikao vyake hayahitaji kuja hapa ila kuna yale ya kikazi ambayo yamekaa kijamii kama hili yenyewe nimeamua niwe nawashirikisha kwa mawazo.
Swali;
Nimjibu mume kwamba mkewe alishikwa akifanya mapenzi ofisini?
Mkewe kaja kazini Jana na kunipigia magoti kwamba nimdanganye mumewe kuwa amesimashwa kaingizia kampuni hasara.Kwamba mimi ndio nimeshikilia ndoa yake kwa sasa, kwamba akiachika na umri huo ataenda wapi?Situation ni very tricky na mwisho sijui EXCOM itaamua nini kuhusu hawa watu wawili
Your opinion please
NB:
Kama wahusika wa hili sakata wamo humu ndani, I do regret in advance for inconvenience caused in one way or another.
Mkuu BAK, kwani ofisi ina wajibu gani wa kumwambia mume kwanini mke amesimamishwa kazi? Huyo mume si amuulize mkewe? Hivi kesho mjomba mtu akija akaandika barua kutaka kujua kijana wake anayefanya kazi pale analipwa shilingi ngapi huyu HR atakuja tena hapa kutuuliza afanyaje? Huyu HR naye nina wasiwasi na qualifcations zake!!!!
Tiba
mi naona umjibu shortly. " hafanyi kazi kwakuzingatia taratibu zilizoweka na ufanisi unaohitajika". kama ni malaya atamkamata tu. kumbuka hyo ni familia mkuu kuitenganisha sio issue sana tumia busara kama wazee wetu wa zamani
Boss, Si lazima wote tuwe Sherlock Holmes ila ni muhimu wote tukijaribu kutumia common sense, all i'm saying.Mkuu we unaifahamu kampuni inayozungumziwa hapa?
Huyu hr unamfahamu hata kwa jina au sura?
Makampuni mengi hivi visa vipo kwa ma hr wengi tu
Kuna makampuni zaidi ya 1000 dar peke yake
That's why kaja jf na sio insta au fb
Pole kwa huu mtihani mgumu. Hilo la kumwambia ukweli mume liepuke hasa ukitilia maanani mke kishakupigia magoti umsitiri kwenye ndoa yake. Ila kama mume yumo humu ndio siri ya mkewe kuhusu kusimamishwa kazi imeshavuja.
Mkuu BAK, kwani ofisi ina wajibu gani wa kumwambia mume kwanini mke amesimamishwa kazi? Huyo mume si amuulize mkewe? Hivi kesho mjomba mtu akija akaandika barua kutaka kujua kijana wake anayefanya kazi pale analipwa shilingi ngapi huyu HR atakuja tena hapa kutuuliza afanyaje? Huyu HR naye nina wasiwasi na qualifcations zake!!!!
Tiba
Fuata taratibu za kazi zinavyosema,mumewe kaandika barua yakuuliza kulikoni na nyie mjibuni kwa barua kwa hali halisi ilivyotokea..kwa mfano ukadanganya halafu huyu mume wake alivyo mtata akitaka kufuatilia hiyo hasara mkewe aliyoingiza kampuni ipoje ili acheze nayo mahakani,wewe(nyie) mtakuwa katika nafasi gani??fuata taratibu za kazi...zungumzeni ukwel,hiyo ni kazi siyo maneno ya mtaani....
Wanatuogopesha kuoa wengine we mpaka uzee lkn anachepuka
Na vipi huyo mzee naye akimpigia magoti na kumwomba kuwa amwambie ukweli kilichomfukuzisha kazi mkewe?