naam akiwa na uthubutu ndani yakeKwa usahihi tutumie neno ALISIMAMIA badala ya neno ALIAMUA
Afadhali ya wivu kuliko wewe uliyekuwa unamtukana kama hawa watu hapawivu tu unakusumbua kama mtoto wa kike
Aliyofanya magu,na sasa samia yote yapo kwenye ilqni na wanasifiwa
Viongozi wapo kwa ajili ya kutekeleza ilani ata watumishi wa serikali wanatekeleza ilani ya chama kilicho madarakani
wivu tu unakusumbua kama mtoto wa kike
Aliyofanya magu,na sasa samia yote yapo kwenye ilqni na wanasifiwa
Viongozi wapo kwa ajili ya kutekeleza ilani ata watumishi wa serikali wanatekeleza ilani ya chama kilicho madarakani
Ilani ina kila kitu....uthubutu na kupambania ndio suala hapa.....Hata Kuhamia Dodoma ni uthubutu ule.....hapo utasemajeKwenye kusimamia nakubaliana na wewe kabisa- ILA UAMUZI ulikuwa wa CCM
Ndungu ENL alilisimamia hili kikamilifu sana, lakini pia suala la Tanzania ya viwanda lilikuepo kwenye ilani ya 20215-2020 na wahusika walijitahidi pia kusimamia utekelezaji wake ๐Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010
USHAHIDI HUU HAPA
Elimu ya Sekondari
61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010 kama ifuatavyo:-
(a) Kusimamia kwa ukamilifu utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES
(b) Kuendelea kutekeleza azma ya kuwa na angalau shule moja ya sekondari kwa kila Kata.
(c) Kuongeza idadi ya wanafunzi wa Kidato cha 1-4 kufikia asilimia 50 ya watoto wa rika lengwa la umri wa miaka 14-17 ifikapo mwaka 2010.
(d) Kuongeza idadi ya wanafunzi wa Kidato cha 5-6 kufikia asilimia 25 ya vijana wa rika lengwa la umri wa miaka 18-19 ifikapo mwaka 2010.
(e) Kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari na kuongeza viwango vya kufaulu katika Kidato cha 4 na cha 6.
(f) Kujenga nyumba za walimu na kuendelea kuboresha maslahi yao.
Kwani ILANI ni UAMUZI?Kwenye kusimamia nakubaliana na wewe kabisa- ILA UAMUZI ulikuwa wa CCM