idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Mkuu kubali hili tukio la leo linamaslai zaidi kwa CCM kuliko Chadema.But still walio arrange hii move
wamemuona Magufuli 'hana busara'
wametumia church kumlainisha
ujumbe uko very clear 'siasa sio uadui' fanyeni siasa zenu kwa amani
Kumbuka viapo vya wafuasi wa Chadema ......Na wabunge wao toka matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa hadi Bungeni.
Lazima mkubali Lowasa anawavuta shati kwenye harakati za UKAWA, Lowasa hana mihemuko kama ya Lisu,Msigwa au Sugu.
Mbowe hana mihemuko ila ni mtu wa upepo, hajawahi kwenda tofauti na majira ya siasa.
Lazima mkubali Lowasa anawafundisha siasa, Lowasa Na Chadema ni sawa Na Baba Na Mwana.!