Kujitangaza haina maana alishinda kweli.Umesahau kua Lowasa alijitangaza kua ameshinda. Au ndo umepigwa upofu na mahaba ya chama
Hata leo hathubutu kuonyesha zile fomu za matokeo (za mawakala wake mwenyewe) zinazoonyesha alishinda.
Kujitangaza haina maana alishinda kweli.Umesahau kua Lowasa alijitangaza kua ameshinda. Au ndo umepigwa upofu na mahaba ya chama
Kwisha habari yakeNa huku si mlisema mmeibiwa kura? Mmesahau? Kwa hiyo kamanda leo umekubali mlishindwa kihalali? Asante Kamanda kwa kukiri mlishindwa!
Lizaboni, bora ulivoondoa avater yenye picha ya kagame. Wengine hatupendi hata kumuona. Kidogo umeonesha uzalendo japo unajinata kuwa mzalendo.Wale wanaopenda kuiga na waige
Hahahahaaa!mimi naeleza mambo kwa kina wewe unaeleza mambo ya vijiwe vya kahawa hatutaelewana kama wamefungua kesi itasikilizwa lini? nauliza swali hili hamnipi majibu je wapi viongozi wa chadema wamesema hawamtambui rais maana kama unapinga matokeo maana yake hata rais hutamtambua tatizo lenu mkisikia maneno ya kwenye kahawa mnaleta kwa GREAT THINKERNaamini wewe ndo mjinga zaidi ya hao unaosema.
Kwa post yako umekiri wazi kuwa ile kauli kuwa Lowassa aliibiwa kura ni ya uongo.
Anyway, uongo wenu tumeuzoea manake mlituongopea lia kuhusu kufungua kesi kubwa kubwa ICC na ICJ kupinga matokeo. Hamna aibu hata kidogo.
Hizi akili za mapovu sijui huwa mnazitoa wapi. Yaani unaongea ili tu ubishie hoja.
Na tangu lini (ukiondoa huo upuuzi mnaouita upinzani) watu wakasusiana salaam na misiba katika jamii yetu???
Wajinga wakubwa....
Wewe unaongoza katika hilo genge la bongo lala.Hahahahaaa!mimi naeleza mambo kwa kina wewe unaeleza mambo ya vijiwe vya kahawa hatutaelewana kama wamefungua kesi itasikilizwa lini? nauliza swali hili hamnipi majibu je wapi viongozi wa chadema wamesema hawamtambui rais maana kama unapinga matokeo maana yake hata rais hutamtambua tatizo lenu mkisikia maneno ya kwenye kahawa mnaleta kwa GREAT THINKER
mbona hujibu? wapi viongozi wa chadema wamesema hawamtambui rais, ndio maana nasema maneno ya kwenye kahawaWewe unaongoza katika hilo genge la bongo lala.
Bado unaendelea kulamba matapishi hadharani.
Nimekwambia mshatudanganya hapa kuwa kesi imefunguliwa ICC na ICJ, makamanda wanawataka Ukawa wawe wapole, na picha za mwanasheria akiongea na "wazungu" zikiwepo...threads zimo humu au mpaka tusute? Sasa hivi wasema usharuka na kunywea kwa kisingizio kuwa ni maneno ya vijiweni.
Ndo maana tunawaona wapuuzi na msio na maana
Nimechoka...kwa post yako hii wewe ni MATAPISHI mkubwa kuliko wote niliokwisha kukutana nao.mbona hujibu? wapi viongozi wa chadema wamesema hawamtambui rais, ndio maana nasema maneno ya kwenye kahawa
Wanne hawa wana imani tofauti. Kundi moja linaamini jino kwa jino wakati lingine linaamini mpende audui yako, akikupiga kulia mgeuzie na kushoto.Kufuatia kitendo cha maalim Seif kugoma kumpa Shain mkono kuna kamtindo kalianzishwa kakupiga picha za kuigiza tukio hilo huku ikishabikiwa kuwa ni kitendo cha kishujaa.
View attachment 388825 View attachment 388828
Kaingizwa mkenge kajaalowassa kapunguza makali ya UKUTA..
sidhan kama kuna watu watakuwa bado na mzuka wa kuandamana..
na nnavyo mjua mtukufu, atatumia vizuri hiyo kete.
ni vigumu kukataa mkono kanisani,
Ingekuwa heri asingeenda kabisa.
viva seif viva..
Asante kwa ushahidi wa picha, ndio maana hakuna kiongozi wa chadema aliesema kuwa hamtambui rais,hayo maswala ya kesi ni mambo ya kwenye kahawa wakati wanasubiri ipoe kidogo kwenye kikombe,wenzio hayo maneno wanasema hapohapo na kuyaacha hapohapo sasa wewe unayabeba na kuyafanya ndio nukuu yakoWanne hawa wana imani tofauti. Kundi moja linaamini jino kwa jino wakati lingine linaamini mpende audui yako, akikupiga kulia mgeuzie na kushoto.
Lowassa pia aisema kaibiwa na aliamua kunyamaza ili damu isimwagike ! ........nyie sijui kama mnajitambua !kufananisha sababu za lowassa na seif ni ujinga kwani vitu hivi ni tofauti.
kule zanzibar seif kaibiwa kisha mwizi anakuja kukupa mkono lazima ukatae
magufuli amekataza maandamano huku wanaotaka kufanya hayo maandamano bado hawajafanya kwani muda ambao wamepanga kufanya bado haujafika anakupa mkono kwanini usipokee kwani baba akichukia anakwambieni leo humu ndani hamli lakini akitoka zake huko jioni anarudi na fuko la mizagazaga mnakula kwa hiyo tusubiri 1UKUTA2 UPO PALEPALE
Aje bara kujifunza ustaarabu wa TANZANIA.Seif ana tatizo la anakotokea!
mkuu, good analysiskufananisha sababu za lowassa na seif ni ujinga kwani vitu hivi ni tofauti.
kule zanzibar seif kaibiwa kisha mwizi anakuja kukupa mkono lazima ukatae
magufuli amekataza maandamano huku wanaotaka kufanya hayo maandamano bado hawajafanya kwani muda ambao wamepanga kufanya bado haujafika anakupa mkono kwanini usipokee kwani baba akichukia anakwambieni leo humu ndani hamli lakini akitoka zake huko jioni anarudi na fuko la mizagazaga mnakula kwa hiyo tusubiri 1UKUTA2 UPO PALEPALE