MRISHO92
Senior Member
- May 28, 2014
- 120
- 16
Hata Zanzibar Mara kadhaa Seif amekuwa akisema JK ndio aliamuru uchaguzi urudiwe sio Dr. Shein ila salam aliyokataa ilikuwa ya Dr. Shein.
Kutetea Matendo ya Mwanasiasa ni miongoni mwa kazi kubwa sana Duniani sasa la Lowassa mnalitafutia uhalali
Well said mkuu