taji mwakalobo
Member
- Aug 26, 2016
- 36
- 37
Lowasa ndo wakuigwa sio hao wengine
Sawa ....Lowasa ndo wakuigwa sio hao wengine
Lowasa ndio wa kuigwa.
Hapana Mkuu!!Seif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Unaishi katikati ya mstari wa unafiki.Wote wawili wako sahihi
Seif alinyanganywa ushindi wake hivyo hakuona sahihi kumsalimu adui wake
Lowasa kwa upande wake hajawahi kuwa na uadui na JPM uadui wao ni JK na ndio maana alikuwepo JK ila hawajakutana wala hakuna kilichoonekana kuwa walikutana
Acha vituko.Kuna kuibiwa kura na kupokwa ushindi,huku tuliibiwa kura kule zanz walipokwa ushindi kwa hiyo ni mambo mawili tofauti ndio maana chadema hawakusema hawamtambui rais lakini cuf hawamtambui rais wa zanz hapo umeelewa
Kwa hiyo maalim Seif ni wa kupuuzwahili la lowasa ni la kuigwa na vizazi vya leo na kesho. kwa kweli lowasa nampongeza....
Kwa level yakoAcha vituko.
Lowasa ndo wakuigwa sio hao wengine
Nyumbu wa Chadema wanageuzwa kama chapati,hawana msimamo .Teh Teh naona mmeanza kubadili gear ardhini na kuanza kucheza na maneno ooh kuporwa ushindi oooh kuibiwa kura...
Naomba mtujibu tumuige nani Lowasa au Seif?
Umeniwahi Bwana MTAZAMO. Nilikuwa nafikiria kususa Bungeni akabaki ZZK.Kwanini walisusa hotuba ya JPM bungeni?
Huyu Lowassa ataitwa Msaliti muda si mrefu.Kufuatia kitendo cha maalim Seif kugoma kumpa Shain mkono kuna kamtindo kalianzishwa kakupiga picha za kuigiza tukio hilo huku ikishabikiwa kuwa ni kitendo cha kishujaa.
View attachment 388825 View attachment 388828
Mtazamo umesema jambo la muhimu sana.Seif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Naamini wewe ndo mjinga zaidi ya hao unaosema.kufananisha sababu za lowassa na seif ni ujinga kwani vitu hivi ni tofauti.
kule zanzibar seif kaibiwa kisha mwizi anakuja kukupa mkono lazima ukatae
magufuli amekataza maandamano huku wanaotaka kufanya hayo maandamano bado hawajafanya kwani muda ambao wamepanga kufanya bado haujafika anakupa mkono kwanini usipokee kwani baba akichukia anakwambieni leo humu ndani hamli lakini akitoka zake huko jioni anarudi na fuko la mizagazaga mnakula kwa hiyo tusubiri 1UKUTA2 UPO PALEPALE
Asante sana.Lowassa anafanya yale yanayomsaidia katika mazingira yaliyopo
ku play 'a statesman na kuonekana mwenye busara kunampa nguvu zaidi