Tumuenzi Mwal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumuenzi Mwal

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwana wa africa, Oct 14, 2012.

 1. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kuna wakati nilikuwa stendi ya Arusha na kuna wajaririamali walikuwa wanauza cd za hotuba mbalimbali na matukio ya viongozi walioheshimika sana Africa Kama mwl NYERERE na kujinyakulia CD 2. Naomba kama kuna mtua anaweza kunisaidia kupata mwawasiliano na wahusika. kwa sasa nipo Tanga mjini kikazi.
   
 2. Timoso

  Timoso Senior Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chek youtube kuna some videos
   
 3. Timoso

  Timoso Senior Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  asante kwa muuliza swali na mtoa jibu hata mie nilitaka sana.

  Nasikia Uganda huko Makerere ni maarufu kwa walimu eti zinatumika kufundishia?
   
 5. Timoso

  Timoso Senior Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni possible Haika , Mwl Nyerere ni mmoja kati ya wana Philosophy maarufu sana Africa hasa ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara. so usishangae kwamba vyuo vingi tu nje ya tz vinatumia maujanja yake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. SENGANITU

  SENGANITU Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :shock:Kwa style hii ya udini kweli kuna kumuenzi Mwl Nyerere? Kwa hakika mwl alifanya mambo mengi, na philosophy zake zinatumika vyuo vikuu mbalimbali duniani. mfano philosophy yake ya maadui watatu wa maendeleo ya binadamu. sasa kwa sababu elimu hapa Tz si kipaumbele na kwamba watoa elimu hizo kwa ngazi ya msingi ni wale wenye ufaulu mdogo. ukishauriwa na aliyeshindwa na wewe utashindwa.Inauma lakini ndio ukweli huo!
   
Loading...