Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,677
- 870,404
James Hadley ChaseBelieve him you will believe anything on earth.
James Hadley ChaseBelieve him you will believe anything on earth.
Nilichoshauri kina ubaya gani kuonesha kuwa na support mauaji?Huyo shemeji yako baada ya kufa alikuambia kuwa amekufa kwasababu uliyoisema?Acha ujinga wewe, shukuru nchi hii watu hawamilik silaha kama marekani vinginevyo ungeona cha moto usifikir aliekufa ni kuku.
Nawewe ndio umepata sababu ya kukatia kiuno hoja?Nan apate umaarufu kwa hoja yako ya kijinga unaujua umaarufu au unausikia basis kama kunamtu anakuwa maalufu kwa hoja za kishenz kama yako huyo mtoa umaarufu atakua punga kama yalivyo mapunga yaliyojazana Lumumba kuimba mapambio ya kusifu.
sasa mimi nimemuaa nani?Shida wamejipa kazi ya Muumba wengine wafe wengine waishi.Unamuua mwanadamu mwenzio sababu ya tumbo tu,wakati kila mmoja ni mfu mtarajiwa.
Neno circumstances linakufanya wewe ujue crime namimi nisiwe najua? 😁😁Tunazungumzia circumstances ya mfanano wa tukio La kujinyonga.Ujui chochote kuhusu crime and criminalogy zaidi ya hadithi za kudandia.Elimu ni pana usijifunge kwenye box
Mabwabwa huwa yanapenda kuongelea mapunga ili kutoa password watu wawawa-inbox ...Nan apate umaarufu kwa hoja yako ya kijinga unaujua umaarufu au unausikia basis kama kunamtu anakuwa maalufu kwa hoja za kishenz kama yako huyo mtoa umaarufu atakua punga kama yalivyo mapunga yaliyojazana Lumumba kuimba mapambio ya kusifu.