Kuna utata mkubwa kutokana na maelezo yaliyotolewa na Kamanda Mambosasa kuhusu kutekwa kwa mwandishi Eric Kabendera!

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,480
30,152
Siku ya Jumatatu ya tarehe 29/7/2019 ndipo ripoti zizilipoanza kusambaa kuwa "watu wasiojulikana" wamemteka mwandishi was habari Eric Kabendera na kumpelleka mahari kusikojulikana

Siku moja baada ya tukio hilo Polisi walikanusha kuwa wao hawahusiki na kumkamata mwandishi huyo.

Lakini cha ajabu ni kuwa baada ya siku moja alijitokeza Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa mbele ya waandishi wa habari na kukiri kuwa ni wao ndiyo waliomchukua mwandishi hiyo na wako naye kituo cha "central" wakimhoji kuhusu uraia wake

Ndipo sasa inabidi nimuulize maswali yafuatayo Kamanda Mambosasa na ningependa anijibu

1. Ni kwanini baada ya kutokea tukio hilo la kutekwa kwa mwandishi huyo Polisi hao hao walikanusha kuwa siyo wao waliomteka mwandishi huyo??

2. Ni kwanini hao hao tena Polisi wakiri kuwa ni wao ndiyo waliomkamata mwandishi huyo na wako naye kituo cha "central" wakimhoji kuhusu utata wa uraia wa uraia wake??

3.Je ni kwanini Jeshi la Polisi ndilo limkamate mwandishi was habari huyo na kumhoji kuhusu uraia wake wakati kazi hiyo inaweza kufanywa na wenyewe idara ya uhamiaji??

4. Ni kwanini wale watu 6 waliokwenda kumkamata Kabendera hawakutaka kujitambukisha wao ni nani na walivaa kiraia na wakambeba kwa nguvu na kumtumbukiza kwenye gari yao ya kibanfsi yenye namba T460DFS na kuondoka naye??

5. Je Kamada Mambosasa anaweza kutueleza sisi wananchi ni nani mmiliki wa gari hiyo yenye namba T460DFS??

6 Ni kwanini kuwe na mkanganyiko wa maneno kuhusu sababu zilizopelekea kukamatwa kwa mwandishi huyo, mara tuambiwe ni kiuchunguza uraia wake na wakati mwingine tunaambiwa kuwa ni kutokana na yeye kuandika makala inayodaiwa ni ya kichochezi, aliyoiandika kwenye jarida la The Economist la nchini Uingereza??

7. Ni kitu gani kinachofanya Jeshi la Polisi liendelee kumshikilia mwandishi huyo zaidi ya masaa 48, ambapo ni kinyume cha sheria??

8. Ni kwanini Jeshi la Polisi halimpeleki mahakamani huyo Kabendera, ili mwandishi huyo akapate haki yake huko??

9 Kama mwandishi huyo huyo Kabendera aliwahi kamatwa huko nyuma, mwaka 2013, na kuhojiwa kuhusu uraia wake na kuwa "cleared" ni kwanini hivi sasa baada takribani miaka 6 akamatwe tena na kuhojiwa upya kuhusu utata wa uraia wake??

10.Ni kwanini kampuni ya simu ya Vodacom iliblock simu ya mwandishi huyo mara tu baada ya kukamatwa siku hiyo na hao watu kuondoka naye??

Jeshi la Polisi mkumbuke maneno aliyotamka Rais wetu, Magufuli wakati ule wa tukio la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu hapa nchini, kuwa msitegeuze watanzania wote kuwa ni WAJINGA na tusioweza kupambanua maelezo ya UWONGO na UKWELI tunaoelezwa

Tunaomba Kamanda wetu Mambosasa, utujibie maswali hayo
 
Jeshi letu la Polisi, badala ya kufanya kazi kwa weledi, wao wamekuwa ni watu wa kupokea maagizo toka juu
 
Yaani kitendo cha kutekwa na wananchi wakawahi kupiga gari picha na kutoa habari zikasmbaa na ushahidi wa picha kuwepo huenda huyo kabendera angemfuata azory gwanda
 
Siku ya Jumatatu ya tarehe 29/7/2019 ndipo ripoti zizilipoanza kusambaa kuwa "watu wasiojulikana" wamemteka mwandishi was habari Eric Kabendera na kumpelleka mahari kusikojulikana

Siku moja baada ya tukio hilo Polisi walikanusha kuwa wao hawahusiki na kumkamata mwandishi huyo.

Lakini cha ajabu ni kuwa baada ya siku moja alijitokeza Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa mbele ya waandishi wa habari na kukiri kuwa ni wao ndiyo waliomchukua mwandishi hiyo na wako naye kituo cha "central" wakimhoji kuhusu uraia wake

Ndipo sasa inabidi nimuulize maswali yafuatayo Kamanda Mambosasa na ningependa anijibu

1. Ni kwanini baada ya kutokea tukio hilo la kutekwa kwa mwandishi huyo Polisi hao hao walikanusha kuwa siyo wao waliomteka mwandishi huyo??

2. Ni kwanini hao hao tena Polisi wakiri kuwa ni wao ndiyo waliomkamata mwandishi huyo na wako naye kituo cha "central" wakimhoji kuhusu utata wa uraia wa uraia wake??

3.Je ni kwanini Jeshi la Polisi ndilo limkamate mwandishi was habari huyo na kumhoji kuhusu uraia wake wakati kazi hiyo inaweza kufanywa na wenyewe idara ya uhamiaji??

4. Ni kwanini wale watu 6 waliokwenda kumkamata Kabendera hawakutaka kujitambukisha wao ni nani na walivaa kiraia na wakambeba kwa nguvu na kumtumbukiza kwenye gari yao ya kibanfsi yenye namba T460DFS na kuondoka naye??

5. Je Kamada Mambosasa anaweza kutueleza sisi wananchi ni nani mmiliki wa gari hiyo yenye namba T460DFS??

6 Ni kwanini kuwe na mkanganyiko wa maneno kuhusu sababu zilizopelekea kukamatwa kwa mwandishi huyo, mara tuambiwe ni kiuchunguza uraia wake na wakati mwingine tunaambiwa kuwa ni kutokana na yeye kuandika makala inayodaiwa ni ya kichochezi, aliyoiandika kwenye jarida la The Economist la nchini Uingereza??

7. Ni kitu gani kinachofanya Jeshi la Polisi liendelee kumshikilia mwandishi huyo zaidi ya masaa 48, ambapo ni kinyume cha sheria??

8. Ni kwanini Jeshi la Polisi halimpeleki mahakamani huyo Kabendera, ili mwandishi huyo akapate haki yake huko??

9 Kama mwandishi huyo huyo Kabendera aliwahi kamatwa huko nyuma, mwaka 2013, na kuhojiwa kuhusu uraia wake na kuwa "cleared" ni kwanini hivi sasa baada takribani miaka 6 akamatwe tena na kuhojiwa upya kuhusu utata wa uraia wake??

10.Ni kwanini kampuni ya simu ya Vodacom iliblock simu ya mwandishi huyo mara tu baada ya kukamatwa siku hiyo na hao watu kuondoka naye??

Jeshi la Polisi mkumbuke maneno aliyotamka Rais wetu, Magufuli wakati ule wa tukio la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu hapa nchini, kuwa msitegeuze watanzania wote kuwa ni WAJINGA na tusioweza kupambanua maelezo ya UWONGO na UKWELI tunaoelezwa

Tunaomba Kamanda wetu Mambosasa, utujibie maswali hayo

Lazaro ni mtaalamu wa kutakatisha utekaji na mauaji yanayofanywa na Government Goons!
 
Back
Top Bottom