Labda rais ajae wa yale mawe kule nanii yanayopaza Sauti kwamba ni rais nazungumzia mawe ndioNinaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni.
Hapo alipo anapeaya sahiz, huyu bado . Kuna watu wanaweza sanaNinaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni.
View: https://www.youtube.com/live/J_snXwqMPgU?si=9KenaV6X_GGepwnA
Kama angekuwa hana kitu JPM angeshamtimua kama alivyofanya kwa Kange Lugola. Haya makusanyo serikali ya JPM na Samia inayotamba nayo yameletwa na Mwigulu.Dalili gani.. Nijuze pia mkuu
Ameshika nafasi nyingi kubwa Tu, kina kitu ameshawahi kufanya cha kuonesha vision, charisma na utendaji kazi wake.
Simaanishi huu wa camera nyingi, namaanisha ule ambao ukisema leo hii wizara ya fedha ipo namna A kwa sababu yake etc
Ccm sio chama cha kizazi hiki. Wajinga wameshaisha, angekuwa rais mzuri kama bado wajinga wangekuwepo. Waziri mkuu anasikiliza kero eti mtu analalamika mke wake anamdharau baada ya kupata ajira, na anasema anaona aibu kwenda kwenye dawati la jinsia, lakini mtu huyo huyo ameweza kusema hadharani kwenye umati aibu anayoiona kwenye dawati la jinsia! Na waziri mkuu wa mchongo anaona kweli anatatua kero.Ninaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni.
View: https://www.youtube.com/live/J_snXwqMPgU?si=9KenaV6X_GGepwnA
Kama angekuwa hana kitu JPM angeshamtimua kama alivyofanya kwa Kange Lugola. Haya makusanyo serikali ya JPM na Samia inayotamba nayo yameletwa na Mwigulu.
Msikilize hadi mwisho, usiwe na haraka ya kutoa comments zisizo na supportive evidenceDalili gani.. Nijuze pia mkuu
Ameshika nafasi nyingi kubwa Tu, kina kitu ameshawahi kufanya cha kuonesha vision, charisma na utendaji kazi wake.
Simaanishi huu wa camera nyingi, namaanisha ule ambao ukisema leo hii wizara ya fedha ipo namna A kwa sababu yake etc
Kwani JPM ni nani, au unadhani kila mtu alishoboka na propaganda zake? Makusanyo gani, hayo makusanyo ya kupika figure? Naona mnadhani wote tulitekwa na propaganda za Magufuli, naona Mwigulu anazunguka kufanya kiki za kitoto eti anaiga swaga za Magufuli, akidhani atawachota watu akili.Kama angekuwa hana kitu JPM angeshamtimua kama alivyofanya kwa Kange Lugola. Haya makusanyo serikali ya JPM na Samia inayotamba nayo yameletwa na Mwigulu.
Kisiasa hii ndiyo nafasi yake ya mwishoNinaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni.
View: https://www.youtube.com/live/J_snXwqMPgU?si=9KenaV6X_GGepwnA
Kisiasa hii ndiyo nafasi yake ya mwisho
Yaani kabisa wanaume wasikilize us33enge.Msikilize hadi mwisho, usiwe na haraka ya kutoa comments zisizo na supportive evidence