Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

Dalili gani.. Nijuze pia mkuu

Ameshika nafasi nyingi kubwa Tu, kina kitu ameshawahi kufanya cha kuonesha vision, charisma na utendaji kazi wake.

Simaanishi huu wa camera nyingi, namaanisha ule ambao ukisema leo hii wizara ya fedha ipo namna A kwa sababu yake etc
 
Bora Kitila mnyiramba mwenzie mara mia mbiri kama mmekosa kabisa, ana unafiki ila ana uwezo wa kutoka nje ya box at times japo anaangalia sana asipoteze ugali wake toka kwa mamaduro! Hebu tafakari mtajwa huyu yupo kwenye vikao kule UN, aibu najionea mie kenge huku umalila!

Tazama hapa kidogo analysis yake ulinganishe ya uwezo wa 1st class wa uchumidesa

View: https://www.youtube.com/watch?v=jzKSbfnPbC4
 
Dalili gani.. Nijuze pia mkuu

Ameshika nafasi nyingi kubwa Tu, kina kitu ameshawahi kufanya cha kuonesha vision, charisma na utendaji kazi wake.

Simaanishi huu wa camera nyingi, namaanisha ule ambao ukisema leo hii wizara ya fedha ipo namna A kwa sababu yake etc
Kama angekuwa hana kitu JPM angeshamtimua kama alivyofanya kwa Kange Lugola. Haya makusanyo serikali ya JPM na Samia inayotamba nayo yameletwa na Mwigulu.
 
Ninaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni.

View: https://www.youtube.com/live/J_snXwqMPgU?si=9KenaV6X_GGepwnA

Ccm sio chama cha kizazi hiki. Wajinga wameshaisha, angekuwa rais mzuri kama bado wajinga wangekuwepo. Waziri mkuu anasikiliza kero eti mtu analalamika mke wake anamdharau baada ya kupata ajira, na anasema anaona aibu kwenda kwenye dawati la jinsia, lakini mtu huyo huyo ameweza kusema hadharani kwenye umati aibu anayoiona kwenye dawati la jinsia! Na waziri mkuu wa mchongo anaona kweli anatatua kero.

Kama Mwigulu anapambana na wezi kweli, ripoti ya CAG ipo, na ina ushahidi wa wizi kwa vielelezo. Aache siasa za kitoto.
 
Dalili gani.. Nijuze pia mkuu

Ameshika nafasi nyingi kubwa Tu, kina kitu ameshawahi kufanya cha kuonesha vision, charisma na utendaji kazi wake.

Simaanishi huu wa camera nyingi, namaanisha ule ambao ukisema leo hii wizara ya fedha ipo namna A kwa sababu yake etc
Msikilize hadi mwisho, usiwe na haraka ya kutoa comments zisizo na supportive evidence
 
Kama angekuwa hana kitu JPM angeshamtimua kama alivyofanya kwa Kange Lugola. Haya makusanyo serikali ya JPM na Samia inayotamba nayo yameletwa na Mwigulu.
Kwani JPM ni nani, au unadhani kila mtu alishoboka na propaganda zake? Makusanyo gani, hayo makusanyo ya kupika figure? Naona mnadhani wote tulitekwa na propaganda za Magufuli, naona Mwigulu anazunguka kufanya kiki za kitoto eti anaiga swaga za Magufuli, akidhani atawachota watu akili.
 
Huyu Mwigulu huwa namuona kama hana akili timamu. Aidha ana IQ ndogo au aliwahi kupata ajali ya kichwa
Ubongo wake una struggle hata kutengeneza simple sentences zenye kuleta maana. Ukisikiliza speech zake utajua tu huyu jamaa IQ ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom