Tumsikilize rais wetu

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Wanasiasa wana namna nyingi sana ya kuhakikisha wanakuwa machoni na masikioni kwa wananchi wao.

Asipoweka maneno ya faraja basi vitimbwi au maudhi lengo aguse hisia za wananchi ili waanze kumjadili.....

Politic technics.
Mwanasiasa muda wote anataka aongelewe yeye,ndio maana kina Zitto, Lema,yule mbunge wangu wa Tarime wanashinda Twitter
 
Back
Top Bottom