Tumsikilize rais wetu

"KAMA MKANDARASI NI MSHENZI MIMI NI MSHENZI ZAIDI YAKE" MIMI SITEGEMEI MANENO KAMA HAYA YANAWEZA KUTAMKWA NA KIONGOZI WA NCHI MWENYE BUSARA. KILA SIKU WATU WANAHUBIRI JUU YA MAADILI KWA VIJANA WETU JE KWA MATAMSHI YA RAIS KAMA HAYA ANAWAFUNDISHA TABIA GANI VIJANA WETU? KIONGOZI WA NCHI NDIO KIOO CHA NCHI ANATAKIWA AWE MFANO WA WANANCHI WAKE KUMUIGA.
 
"KAMA MKANDARASI NI MSHENZI MIMI NI MSHENZI ZAIDI YAKE" MIMI SITEGEMEI MANENO KAMA HAYA YANAWEZA KUTAMKWA NA KIONGOZI WA NCHI MWENYE BUSARA. KILA SIKU WATU WANAHUBILI JUU YA MAADILI KWA VIJANA WETU JE KWA MATAMSHI YA RAIS KAMA HAYA ANAWAFUNDISHA TABIA GANI VIJANA WETU? KIONGOZI WA NCHI NDIO KIOO CHA NCHI ANATAKIWA AWE MFANO WA WANANCHI WAKE KUMUIGA.

= wanahubiri

Huna haja ya kutupigia kelele, andika tu kwa herufi ndogo utasikika tena kwa ufasaha.
 
Wanasiasa wana namna nyingi sana ya kuhakikisha wanakuwa machoni na masikioni kwa wananchi wao.

Asipoweka maneno ya faraja basi vitimbwi au maudhi lengo aguse hisia za wananchi ili waanze kumjadili.....

Politic technics.
Kasie hongera sana, ukubwa Dawa dada yangu! Huwezi amini zamani nilidhani Sky Eclat ni mtu mzima ila kwa hili sijui! Hivi Makota ya JPM ni yapi hapo? Hii ni misemo tu. Kweli JF shida! Usichoke waelimishe
 
Back
Top Bottom