Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,813
- 10,867
Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu.
Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue.
-
Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia 90 ya watanzania hawafurahishwi na uwepo wa Samia kama Rais. Hata wale lay persons kabisa …. watasema same thing.
Hawafurahishwi kwa sababu kuu zifuatazo;
1. Nchi imekosa Utulivu, amani na upendo,
2. Kuna mpasuko mkubwa sana wa kidini, ni Kama kuna vita ya chini kwa chini kati ya muslim na Christianity .
3. Financial management ya nchi imekuwa ni ya hovyo kuwahi kutokea. Rushwa imeongezeka maradufu. Rais alishawahi kutoa kauli yake kuwa watu wale kwa kamba yao ila sasa wasizidishe, wasifanye kufuru.
4. Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa Misaada na kukopa. Malawi would be rich by far . In Tanzania , Deni la Taifa limekuwa kubwa sana na fedha hazijulikan zilipo…Rais alishakiri fedha zinaenda mifukoni mwa watu. Miradi mingi haikamiliki kwa kuwa hela hazionekani:
watu wanatoa tozo, donors wanatoa misaada, nchi inakopa… and still miradi ipo slow .kwa mfano mabarabara yanayojengwa hapo mjini ni mwaka wa 4 sasa yapo yapo tu …. The president doesn’t know what else to do … the most scariest thing
5. Nepotism ndani ya nchi imekuwa kubwa sana . Familia moja yote inamilikishwa Ofisi za Umma, the most scariest thing !
The president has lost a control … we must speak out sisi ndio WAAJIRI wake , analipwa zaidi ya 150M kwa mwezi kutoka kwenye kodi za wananchi
Dr Megalodon Mushi
Canada