kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Hivi zile buku saba zimeshaongezeka au wanajitolea bure siku hizi ?naona Lumumba B7FC wanavyojizatiti.
Mhhhhhhhh!!!!????Dr Slaa ndio kiboko ya Nyumbu because.
1.Tokea aondoke chadema hawaoni Wa kuziba nafasi yake
2. Yote aliyowatabilia yametimia MF kujinyea na kutokuingia ikulu
3. Tokea aondoke, chadema imepoteza dira. Leo ndio chama kinachotetea ufisadi.