Tumshukuru Hayati Magufuli - Rais Samia

Tumshukuru Hayati Magufuli - Rais Samia

Tumelipwa na tumeajiriwa tena
Yaani hawa manyumbu wa chadema Sasa hivi wameungana na CCM kumponda magu ila 2024 -25CCM hao hao watawageuka na kutumia jina la magufuli kujizolea kura Kwa sababu CCM wanayajulia sana haya manyumbu kuyaingiza Chaka ni kama jinsi walivyawapatia lowassa ambaye ni CCM kindakindaki manyumbu yakaamini ni mwenzao mwisho wa siku Chali na lowassa akarudi zake CCM hakayaacha solemba halikadhalika kutokana na ujuha wao wa kutosoma alama za nyakati na kuendekeza njaa 2024 -25yatakula za uso halafu yaseme yameibiwa kura yaani haya manyumbu daaaah!!!!!!!!
 
Aendelee kupumzika kwa amani mwamba John Pombe Magufuli
moto wa milele umchome huyo mwamba wenu! Nikikumbuka jamaa zangu waliopoteza maisha kwa ushauri wa kiuwendawazimu wa kujifukiza! Nabhata ushungu yakhe
 
View attachment 2513786

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo zimesaidia uchumi wa Tanzania kutoshuka kwa sana ukilinganisha na Mataifa mengine.

Rais Samia amesema hayo leo wakati akizungumza na Wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo February 11,2023 Ikulu Chamwino Dodoma “Dunia imekumbukwa na mambo matatu makubwa, Uviko- 19, miaka miwili Dunia kama ilisimama hakukuwa na uzalishaji viwandani wala shughuli za maendeleo, baada ya maradhi kuondoka Dunia kama imeanza upya, viwanda vimeanza upya, chumi zimeanza kujengwa upya”

“Nataka hapa kwa pamoja tumshukuru Marehemu John Pombe Magufuli yeye alisema sisi hatusimamishi kitu kwasababu hatuna uwezo wa kulisha Watu wote hawa kila Mtu atoke akajitafutie riziki lakini tuchukue tahadhari, kwa maana hiyo uchumi wetu haukushuka sana kama ulivyoshuka kwa wenzetu Nchi za jirani ndio maana hatukutetereka sana”

“Uchumi wetu ulikuwa unakua kwa 7% lakini yalipoingia maradhi tumeshuka mpaka 4% lakini kuna Nchi za jirani walishuka hadi 2% hadi 3% kwahiyo sisi tulikwenda vizuri, kwahiyo Dunia imekumbwa na maradhi, mabadiliko ya Tabia Nchi na sasa sio mabadiliko ya Tabia Nchi ni mabadiliko ya Tabia Dunia”
#MillardAyoUPDATES
JPM alikuwa exceptional sana,hakukubali kabisa kutumiwa kwa malengo maovu.
 
Yaani hawa manyumbu wa chadema Sasa hivi wameungana na CCM kumponda magu ila 2024 -25CCM hao hao watawageuka na kutumia jina la magufuli kujizolea kura Kwa sababu CCM wanayajulia sana haya manyumbu kuyaingiza Chaka ni kama jinsi walivyawapatia lowassa ambaye ni CCM kindakindaki manyumbu yakaamini ni mwenzao mwisho wa siku Chali na lowassa akarudi zake CCM hakayaacha solemba halikadhalika kutokana na ujuha wao wa kutosoma alama za nyakati na kuendekeza njaa 2024 -25yatakula za uso halafu yaseme yameibiwa kura yaani haya manyumbu daaaah!!!!!!!!
CCM walikuwa wanashinda uchaguzi kabla ya huyo mwehu wa Chato na wala CCM haihitaji kutumia jina la mwehu wa Chato kushinda uchaguzi wowote.
Labda nyie wanyonge ndio mnamuona wa maana sana kutokana na ufinyu wenu wa akili
 
View attachment 2513786

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo zimesaidia uchumi wa Tanzania kutoshuka kwa sana ukilinganisha na Mataifa mengine.

Rais Samia amesema hayo leo wakati akizungumza na Wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo February 11,2023 Ikulu Chamwino Dodoma “Dunia imekumbukwa na mambo matatu makubwa, Uviko- 19, miaka miwili Dunia kama ilisimama hakukuwa na uzalishaji viwandani wala shughuli za maendeleo, baada ya maradhi kuondoka Dunia kama imeanza upya, viwanda vimeanza upya, chumi zimeanza kujengwa upya”

“Nataka hapa kwa pamoja tumshukuru Marehemu John Pombe Magufuli yeye alisema sisi hatusimamishi kitu kwasababu hatuna uwezo wa kulisha Watu wote hawa kila Mtu atoke akajitafutie riziki lakini tuchukue tahadhari, kwa maana hiyo uchumi wetu haukushuka sana kama ulivyoshuka kwa wenzetu Nchi za jirani ndio maana hatukutetereka sana”

“Uchumi wetu ulikuwa unakua kwa 7% lakini yalipoingia maradhi tumeshuka mpaka 4% lakini kuna Nchi za jirani walishuka hadi 2% hadi 3% kwahiyo sisi tulikwenda vizuri, kwahiyo Dunia imekumbwa na maradhi, mabadiliko ya Tabia Nchi na sasa sio mabadiliko ya Tabia Nchi ni mabadiliko ya Tabia Dunia”
#MillardAyoUPDATES
Regret imeshaanza sasa.

Nadhani matokeo ya kupambana na marehemu yameanza kuwatishia majemedari wa mpambano huo.

Mama ameanza kuelewa nini wasaidizi wake wanachomfanyia kumchonganisha na wananchi wake.

Nia njema hugeuza gadhabu ya Mungu
 
we unaota? Mfuate mpelekee K
 
CCM walikuwa wanashinda uchaguzi kabla ya huyo mwehu wa Chato na wala CCM haihitaji kutumia jina la mwehu wa Chato kushinda uchaguzi wowote.
Labda nyie wanyonge ndio mnamuona wa maana sana kutokana na ufinyu wenu wa akili
Mbona wenje kaanza kulitumia vizuri jina la JPM na kashangiliwa kweli kweli au siyo nyumbu mwenzenu na Bado 2024-2025 haijafika? tutaelewana TU!!😄😄
 
Hata huyo Wenje hajielewi, upinzani na CCM kote kuna wanasiasa matapeli na wafusi wao wasiokuwa na akili kama wewe

nyumbu ni wewe unaendelea kufikiri kwamba kuna mwanasiasa atakuja kukupa maisha mazuri, kama yule juha alivyokuwa akiwalaghai huku yeye akificha fedha nje
Wengi walikuwa maskini ila wamefanikiwa kwa kutumia elimu na kufanya kazi, chini ya CCM hii hii mnayodai haifai,

Fanya kazi ndio utatoka kwenye umaskini, jinga wewe
 
Sasa we kima naona umekosa point unaanza kutematema mate TU Kwa hiyo tunavyochati hapa unadhani Sina maisha boya wewe au nilishakuja kula kwako Sasa we unavyoita JPM juha kati Yako we na ye nani juha wakati hata kitongoji hakikujui acha ushamba mtoto wa kahaba we!!!!!!
 
Nimejuaje huna maisha? Maisha unayo, ndio maana unaandika, ila ukavyoandika unaonekana ni mmoja wa wale wafuasi wa mwendazake ambao mostly hawana akili na ni wabangaizaji mtaani na vijijini

Mtu anayejiweza hawezi kumsifu Mwendazake eti alikuwa 'mkombozi wa wanyonge' au wanasiasa wa upinzani wanaodai kuwa watakuwa wakombozi wa wanyonge,
Magufuli ni juyahammnnnnnhs juha, kichaa, nenda kanywe
sumu
 
moto wa milele umchome huyo mwamba wenu! Nikikumbuka jamaa zangu waliopoteza maisha kwa ushauri wa kiuwendawazimu wa kujifukiza! Nabhata ushungu yakhe

Wale mamia waliokua wanakufa ulaya kila kukicha walikufa sababu ya ushauri wa Kujifukiza!? Tumia akili japo kidogo.... Hata wewe utapoteza maisha muda wako ukifika

Aendelee kupumzika kwa amani Mwamba John Pombe Joseph Magufuli
 
Regret imeshaanza sasa.

Nadhani matokeo ya kupambana na marehemu yameanza kuwatishia majemedari wa mpambano huo.

Mama ameanza kuelewa nini wasaidizi wake wanachomfanyia kumchonganisha na wananchi wake.

Nia njema hugeuza gadhabu ya Mungu

Rest well mwamba John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
 
Back
Top Bottom