kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,960
- 26,135
Yani unaacha kumuomba Mungu akubariki wewe na ukoo wako,unamuomba awabariki wazazi wa wenzio?Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee

Hivi nyie vyeti feki si mmelipwa,au wewe hujapata malipo yako mkuu?Mwenyewe naishukuru Covid na namshukuru sana, la sivyo leo tusingekuwa na Rais mpya
Hilo jinga achanalo! Ujuaji tu kila kitu!Kwahiyo wenzetu waliokoa sana maisha ya watu wengi?
Wewe jinga kweli! Vipi waliojifungia hawakupoteza watu? Ujuaji tu kila jambo!but a lot of life was lost which could have been saved, sikubaliani na Mama Samia kwa analysis hiyo
Was lost ndo nini!? Ebu toa ujuha wako hao waliowafubgia ndani waliokowa watu wangapi !???but a lot of life was lost which could have been saved, sikubaliani na Mama Samia kwa analysis hiyo
Katomb..we hukobut a lot of life was lost which could have been saved, sikubaliani na Mama Samia kwa analysis hiyo
Kwani amekuomba ukubaliane naye?...sikubaliani na Mama Samia kwa analysis hiyo
Kweli JPM ni sawa namajiView attachment 2513786
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo zimesaidia uchumi wa Tanzania kutoshuka kwa sana ukilinganisha na Mataifa mengine.
Rais Samia amesema hayo leo wakati akizungumza na Wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo February 11,2023 Ikulu Chamwino Dodoma “Dunia imekumbukwa na mambo matatu makubwa, Uviko- 19, miaka miwili Dunia kama ilisimama hakukuwa na uzalishaji viwandani wala shughuli za maendeleo, baada ya maradhi kuondoka Dunia kama imeanza upya, viwanda vimeanza upya, chumi zimeanza kujengwa upya”
“Nataka hapa kwa pamoja tumshukuru Marehemu John Pombe Magufuli yeye alisema sisi hatusimamishi kitu kwasababu hatuna uwezo wa kulisha Watu wote hawa kila Mtu atoke akajitafutie riziki lakini tuchukue tahadhari, kwa maana hiyo uchumi wetu haukushuka sana kama ulivyoshuka kwa wenzetu Nchi za jirani ndio maana hatukutetereka sana”
“Uchumi wetu ulikuwa unakua kwa 7% lakini yalipoingia maradhi tumeshuka mpaka 4% lakini kuna Nchi za jirani walishuka hadi 2% hadi 3% kwahiyo sisi tulikwenda vizuri, kwahiyo Dunia imekumbwa na maradhi, mabadiliko ya Tabia Nchi na sasa sio mabadiliko ya Tabia Nchi ni mabadiliko ya Tabia Dunia”
#MillardAyoUPDATES
Duh.Katomb..we huko
Sawa kabisaView attachment 2513786

Tumelipwa na tumeajiriwa tenaHivi nyie vyeti feki si mmelipwa,au wewe hujapata malipo yako mkuu?
Vipi mbona wewe hukufa pamoja na kwamba una vichogo vinne?but a lot of life was lost which could have been saved, sikubaliani na Mama Samia kwa analysis hiyo
Hii Kauli ya Ajabu Kabisa...
Kwahio anasema na anakubali kwamba JPM alikuwa one man army na anaona ni sawa kuendelea kuwa one man army.....
Yaani mmoja akiamua nini kifanyike kinafanyika na sio wote wataalamu na serikali kwa ujumla wao ?!!!
Though nakubali kwamba kuacha shughuli za kujitafutia mkate wa kila siku ni kifo kwa njaa lakini sikubaliani kwamba uchumi hizo digits ni more important kuliko life.....
Umejichanganya wewe Catholic Goat!Hii Kauli ya Ajabu Kabisa...
Kwahio anasema na anakubali kwamba JPM alikuwa one man army na anaona ni sawa kuendelea kuwa one man army.....
Yaani mmoja akiamua nini kifanyike kinafanyika na sio wote wataalamu na serikali kwa ujumla wao ?!!!
Though nakubali kwamba kuacha shughuli za kujitafutia mkate wa kila siku ni kifo kwa njaa lakini sikubaliani kwamba uchumi hizo digits ni more important kuliko life.....
Compared to where? Acheni kumchonganisha mama na raia wa Tanzania kw afaida zenu binafsi...Mama kamatia hapo hapo...Waache hawa wanga waendelee kuwanga mchanabut a lot of life was lost which could have been saved, sikubaliani na Mama Samia kwa analysis hiyo
Lot of lives were also lost in countries that used a different approach,but a lot of life was lost which could have been saved, sikubaliani na Mama Samia kwa analysis hii
Yani unamfukuza chizi uchi aliyekuibia nguo zako mtoni..Katomb..we huko
Wamesema wakuu.yeye alisema sisi hatusimamishi kitu kwasababu hatuna uwezo wa kulisha Watu wote hawa kila Mtu atoke akajitafutie riziki lakini tuchukue tahadhari,
Mbona humwombei magufuli atangazwe Mtakatifu?Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia