Wanajamvi nawatakia xmas njema na khery ya mwaka mpya.
Dhumuni la kufungu thread yangu leo,ni kuhusiana na mambo yanayoendelea kati ya zito na vingozi wake ndani ya chadema.
Kwanza kabisa naomba niwe wazi kabisa, ya kwamba mimi sivutiwi na siasa anazozifanya zito period.
Nichotaka kukushauri na kukuomba,kwanini usiondoke cdm ili utuachie chama chetu?alafu kwanza ulikwisha wai kusema utaachana na siasa! Sasa kwanini unaleta vibwanga au ndio unafanya siasa za chuki na kulipiziana visasi?
Atanaivyo nasikia kigoma inaongozwa na upinzani,tena cha kufurahisha inaonekana nccr ndiyo yenye nguvu kwa upinzani kuliko cdm. Sasa kwanini usiende huko?
Kwa style hii sisi wanachama wa chadema tunazidi kuamini wewe ni pandikizi umepandikizwa kwa malengo flani. Kwa mimi binafsi ninazidi kukuchukia kupitiliza.
Siku kumi na nne zimefika ama bado hazijafika?
CDM mnajichimbia sehemu ya kujifukia wenyewe.... kutokana na kujichanganya kwenu.
Mlisema Zitto hawababaishi, mbona kila kukicha mwaweweseka hadi kufikia hatua ya kuanza kuipigia chapuo gongo........
Hapo kwenye red ni kauli ya kipumbavu kutumika katika siasa zenye misingi ya kidemokrasia na ushirikishwaji wa umma katika kupanga na kuamua mambo yao.Wewe nani kakupa chama cha siasa kuwa mali yenu au yako?
Kuna connection gani kati ya JF na ZZK, analindwa sana hapa sawa na J.k na Tiss
sio tu uzi wa uzushi,personal attack kumhusu yeye utaondolewa hata wenye habari dhahiri na udhaifu wake
kuna wanasiasa wanaanikwa na mambo yao binafsi kuwekwa hapa lakini ya Zitto yataondolewa
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
- Awaheshimu viongozi wake.
- Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
- Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
- Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
- Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;
Mengine mnaweza kuongeza.

Wewe ni chadema chumbani au chadema sebureni.
Kuna connection gani kati ya JF na ZZK, analindwa sana hapa sawa na J.k na Tiss
sio tu uzi wa uzushi,personal attack kumhusu yeye utaondolewa hata wenye habari dhahiri na udhaifu wake
kuna wanasiasa wanaanikwa na mambo yao binafsi kuwekwa hapa lakini ya Zitto yataondolewa
Kuna mambo ya msingi lakini KWA upande wetu Huku mchambawima tunaona mnatukata MOto zito mwenyewe sijui anataka kuanzisha. Chama CHAke sasa aseme sio kuponda CDM