Tumshauri Zitto...

Status
Not open for further replies.
mkuu! Kwaiyo dhumini lake lilosalia ni kutugombanisha? Binafsi naona ni heri atoke ndani ya cdm ili aweze kuishambulia vizuri chadema. Kwani unapokua ndani ya cdm naamini hatoweza kuishambulia vizuri.

sinaimani kama ulishawahi kufanya uchunguzi juu ya yale asemayo zto juu wenye chama wale wazee wa ruzuku.
 
Huna cha kuongea kwa nini usikae ule mandazi na watoto kuliko kuandika vioja humu wewe nani ndani ya chadema toa kelele zako humu zitto ndiyo mwenye chadema.

asante mkuu! Ila tambua nimeandika kwa hisia zangu. Kama wewe umeona ni kiroja,ulikua na uhuru wa kutochangia.
 
Mkuu wanaotaka mabadiliko ndani ya CDM ni CCM na si wanachadema! Zitto ni kibaraka wa CCM anayetumiwa kama mpira wa kiume! Ukitaka kujua hili angalia vyombo vya habari vya CCM vinavyomrukuza Zitto kipenzi chao!
 
kama zito angekua na nia njema asingeangaika kwenye majukwa na kuanza kutafuta uruma kwa wapiga kula wake. Zaidi ya yote angesubilia hatima ya hukumu yake ndani ya cdm.
 
Attachments

  • Zito.gif
    20.3 KB · Views: 278
  • kigom.gif
    27.5 KB · Views: 273
  • Zuberi.jpeg
    10.4 KB · Views: 270

pamoja sana mkuu!
 
Huna cha kuongea kwa nini usikae ule mandazi na watoto kuliko kuandika vioja humu wewe nani ndani ya chadema toa kelele zako humu zitto ndiyo mwenye chadema.

Kwani umelazimishwa Kusima?
Hata iwe umeisoma kwa Bahati mbaya,ni lazima utoe comment!?
 
Wezi,wasaliti kwa nchi yao wakizidiana pace ndo hayo tunayoyaona chadema-pole mleta maada maana Inaonekana bado unakimbia kivuli cha mtazamo wako kisiasa!
 
Zitto must go kwa gharama yoyote, kumuacha ni kusema chadema ndio mwisho wake na kuthibitisha kuwa kumbe Chadema ni Zitto jambo ambalo mamiloni ya Wana chadema hatutaki kuamini ni hivyo!
 
Siku kumi na nne zimefika ama bado hazijafika?
CDM mnajichimbia sehemu ya kujifukia wenyewe.... kutokana na kujichanganya kwenu.
Mlisema Zitto hawababaishi, mbona kila kukicha mwaweweseka hadi kufikia hatua ya kuanza kuipigia chapuo gongo........
 
Acha usenge ww,km vp hama ww kwani chama ni chadema tu? Huridhiki na hali ya chadema kwa sasa tafuta mlango wa kutokea c lazma uendele kuwepo.....
 
Mkuu ungekua unaipenda CDM ungeishauri KK wamfukuze Zzk. Bt kumtaka aondoke ni ishara ya woga kwa Zzk.Chagueni mmoja zito ndani ya CDM ni hatari hadi Democracy ipatikane ndani ya chama.Zito akiwa nje ya chama ni hatari sana,anajua weakness ya CDM.nakumbuka ilivyokua ngumu kwa Chacha Wangwe hadi Deus alipookoa Jahazi.
 
Siku kumi na nne zimefika ama bado hazijafika?
CDM mnajichimbia sehemu ya kujifukia wenyewe.... kutokana na kujichanganya kwenu.
Mlisema Zitto hawababaishi, mbona kila kukicha mwaweweseka hadi kufikia hatua ya kuanza kuipigia chapuo gongo........

1. Siku 14 zilikuwa kwa zito

a) kuwakilisha utetezi wake au

b) zilikuwa kwaajili ya kufanya hitimisho?

Lipi jibu sahihi na kwanini?

2. Unaifahamu siku ya kujadili utetezi wa zito nilini na wapi?
 
Acha usenge ww,km vp hama ww kwani chama ni chadema tu? Huridhiki na hali ya chadema kwa sasa tafuta mlango wa kutokea c lazma uendele kuwepo.....

Matusi si uungwana hata kidogo.

Jenga hoja weka matusi pembeni tutakuelewa zaidi.
 
Zitto must go kwa gharama yoyote, kumuacha ni kusema chadema ndio mwisho wake na kuthibitisha kuwa kumbe Chadema ni Zitto jambo ambalo mamiloni ya Wana chadema hatutaki kuamini ni hivyo!

pamoja sana mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…