Nivema lakini walimu wengi wanakumbuka siku yamshahara sio mufa wakuingia darasani .mtoa mapendekezo ungependekeza waziri awatambue na walimu wavivu wale uvivu wao.
Wastani wa ufaulu upande, vitabu vya kufundishia, maslahi kwa walimu yaongezwe, wenye ufaulu mkubwa wasomee ualimu na afya ikiendana na mishahara, nyumba, teaching allowance kwa walimu wa sayansi
Ahakikishe hakuna muislam kufika form one wote waishie darasa la saba tu, wafanyakazi wa kiislam awapige chini wote waliokuwa wizara ya elimu, akiyafanya hayo ndani ya miaka miwili tu anakuwa mwenye heri! Najua hawezi kushindwa kama aliweza kufanya alichokifanya alivyokuwa katibu mkuu
kuna wale walioenda shule hawajarudi na vyeti wafutwe kazi
Na kuna wale walioomba ruhusa kwenda shule kumbe wako mjini wanakula bata, chuoni hawako na kazini hawako huku wakila mshahara wa serikali burebure, watimuliwe kazi walimu wakuu wanawajua wote