Tumsaidie rafiki anataka upadre na ndoa

Tumsaidie rafiki anataka upadre na ndoa

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,427
Reaction score
10,749
Nimemshauri sana ila nguvu na uzuri wa huyu dada Jasmini inaelekea kunizidi nguvu. Huyu rafiki yangu anapenda sana kuwa padri na anadai yuko ktk hatua za kwenda seminari kuu kuanza masomo ya falsafa na kamaliza digrii chuo kimojawapo Moro. Anasema pia anamtaka Jasmini sana maana anautesa moyo wake. Sasa wana JF mnisaidie, tumshaurije?

This is serious,please okoeni jahazi hapa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yeye jasmin yupo upande gani? Mi namshauri aoe tu mambo ya kuharibu makanisani tumeyachoka. Au asali sana labda ni pepo ilo.
 
^^
Chonde chonde Upadre ni wito...Isije akajilazimisha upadre halafu wanakwaya wetu wakawa kitoweo maana humo wamo akina Jasmini wenye majina mengine!
^^
 
Kwani lazima upadri!! Kuna haja gani! Ya kuto oa! Alafu mda huo unazini na wake za watu!! USHAURI aachane na Upadri! Awe hata Mchungaji!!!,
 
Kuna mada zingine huwa za kipumbavu basi tu walio wengi huwa hawazijui na hivyo kukurupuka kuzichangia. Hii ina lengo tofauti na maandishi yaliyopo hapa, na huyu ni shetani tu yupo kwenye kazi zake za kila siku kama zile za Lumumba.

Mpuuzi uliyeanzisha mada, ili uwe PADRE (Wa Kanisa Katoliki) uamuzi ni lazima uwe umeufanya kabla ya balehe yako na sio mara baada ya kujigundua kuwa wewe ni 'Babu Ali' ndio ujifanye unataka kuwa Padre.

Huyu shoga yako unayemsema amemaliza chuo, si ndio? Basi kwa taarifa yako, selection ya watawa wa kanisa katoliki hufanyika tukiwa shule ya msingi na maendeleo yako ya shuleni huwa yanakuwa monitored. Ukifeli ELIMU DUNIA, huendi Maua Seminary NG'O!

Kwa kifupi, stori yako ni ya kutunga na ni upuuzi mtupu. Hakuna mtu aliyetokea chuoni halafu akaenda kuwa Padre. Labda uniambie umeanzisha kanisa lako. Pathetic fool!
 
and ze topic is closed period!
 
KWELI WEWE MWANA MTOKA PABAYA; YAANI WAZO LAKO LIMEJIBU YOTE MAANA MAANDALIZI YA PADRI HUANZA MTU AKIWA SHULE YA MSINGI SECONDARY ILA SIYO CHUO, umesikia wewe boya mleta maada:
Kuna mada zingine huwa za kipumbavu basi tu walio wengi huwa hawazijui na hivyo kukurupuka kuzichangia. Hii ina lengo tofauti na maandishi yaliyopo hapa, na huyu ni shetani tu yupo kwenye kazi zake za kila siku kama zile za Lumumba.

Mpuuzi uliyeanzisha mada, ili uwe PADRE (Wa Kanisa Katoliki) uamuzi ni lazima uwe umeufanya kabla ya balehe yako na sio mara baada ya kujigundua kuwa wewe ni 'Babu Ali' ndio ujifanye unataka kuwa Padre.

Huyu shoga yako unayemsema amemaliza chuo, si ndio? Basi kwa taarifa yako, selection ya watawa wa kanisa katoliki hufanyika tukiwa shule ya msingi na maendeleo yako ya shuleni huwa yanakuwa monitored. Ukifeli ELIMU DUNIA, huendi Maua Seminary NG'O!

Kwa kifupi, stori yako ni ya kutunga na ni upuuzi mtupu. Hakuna mtu aliyetokea chuoni halafu akaenda kuwa Padre. Labda uniambie umeanzisha kanisa lako. Pathetic fool!
 
Hata mimi nimesoma seminary o_level uwatunaambiwa upadre ni wito kwa hiyo hasilazimishe achague maisha anayoyaweza
 
Kama anampenda sana Jasmin, upadri haumfai. Kanisa katoliki haliko hvo. Aoe tu, upadri awaachie wasio na akina Jasmini.
 
Kuna mada zingine huwa za kipumbavu basi tu walio wengi huwa hawazijui na hivyo kukurupuka kuzichangia. Hii ina lengo tofauti na maandishi yaliyopo hapa, na huyu ni shetani tu yupo kwenye kazi zake za kila siku kama zile za Lumumba.

Mpuuzi uliyeanzisha mada, ili uwe PADRE (Wa Kanisa Katoliki) uamuzi ni lazima uwe umeufanya kabla ya balehe yako na sio mara baada ya kujigundua kuwa wewe ni 'Babu Ali' ndio ujifanye unataka kuwa Padre.

Huyu shoga yako unayemsema amemaliza chuo, si ndio? Basi kwa taarifa yako, selection ya watawa wa kanisa katoliki hufanyika tukiwa shule ya msingi na maendeleo yako ya shuleni huwa yanakuwa monitored. Ukifeli ELIMU DUNIA, huendi Maua Seminary NG'O!

Kwa kifupi, stori yako ni ya kutunga na ni upuuzi mtupu. Hakuna mtu aliyetokea chuoni halafu akaenda kuwa Padre. Labda uniambie umeanzisha kanisa lako. Pathetic fool!
ahahahahaha kweli nakuunga mkono Mwana mtoka pabaya ....mtoa mada nadhani hajui ulipotoka...ahhaha he may be a fool indeed
 
huyo hana wito wa upadre
akaoe zake huko asitake kutuharibia
kanisa katoliki,maana hao ndio wanakuaga walawiti
na hawaishi kuwajaza mimba masista aaakhaaa!!
 
Asubirie mapinduzi ya kanisa katoliki mwezi wa kumi labda watawa wataruhusiwa kuoa,makardinal wako kwenye mchakato,
 
Nimemshauri sana ila nguvu na uzuri wa huyu dada Jasmini inaelekea kunizidi nguvu. Huyu rafiki yangu anapenda sana kuwa padri na anadai yuko ktk hatua za kwenda seminari kuu kuanza masomo ya falsafa na kamaliza digrii chuo kimojawapo Moro. Anasema pia anamtaka Jasmini sana maana anautesa moyo wake. Sasa wana JF mnisaidie, tumshaurije?

This is serious,please okoeni jahazi hapa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mtume Paulo anasema Kwa ajili ya tamaa kila mtu na awe na wakwake na kama anaweza awe kama mtume paulo kwa vile tamaa inamuwaka aoe ila aachane na upadri kwani utumishi upo mwingi. na kama anang'ang'ania kanisa lake katoliki afanye huduma nyingine ndani ya kanisa lake ambayo haitamfunga kuoa.
 
Mwana mtoka pabaya sishangai kwa ulichochangia ila asante nimepata kitu. Si Lazima eti mtu aandaliwe upadre tangu shle ya msingi au o level. Kuna mapadre wengine wameenda mpaka pHD na wakaurudia wito. Upadre ni wito wa popote. Kuna darasa seminarini linaanza na pre-form 1 lakn likaishia kupata padri 1 au lisipate kabisa. Usijibu kitu kama hujui. Humu kuna watu wanajua na ndo inapaswa tusaidiane.
Kwa taarifa tu jamaa kapeleka barua ya maombi na imepokelewa ila nikiongea nae anadai anashindwa kumuacha Jasmini.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Asanteni pia mliotoa ushauri mzuri,hapa najitahidi ku-note ili nikiongea na jamaa niwe na mawazo mengi zaidi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nimemshauri sana ila nguvu na uzuri wa huyu dada Jasmini inaelekea kunizidi nguvu. Huyu rafiki yangu anapenda sana kuwa padri na anadai yuko ktk hatua za kwenda seminari kuu kuanza masomo ya falsafa na kamaliza digrii chuo kimojawapo Moro. Anasema pia anamtaka Jasmini sana maana anautesa moyo wake. Sasa wana JF mnisaidie, tumshaurije?

This is serious,please okoeni jahazi hapa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Si amuulize Slaa tu? apate mbinu, yanini anahangaika?
 
Miito hutokana na sauti ya Mungu sasa wengine hushindwa kuitambua kama Samweli soma 1Samwel 3:1-9. Hapa asingepata ufafanuzi wa anayejua sauti ya Mungu kama kuhani Eli angepotea. Tuache kuchangia mada kwa kubomoa.
Lengo hapa huyu asiende upadri akaharibu waumini kama mmoja alivyochangia.
Mimi sijatunga,it is the reality.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
This time you are NOT 100% correct, my bro alijiunga seminary baada ya kusoma O and A level shule za kawaida. He is a priest for over 6 years now.

Cousin wangu amejiunga seminary baada ya kupata degree yake ya electronic engineer na kufanya kazi na kupata masters. Atapata upadrisho next year.

Back
Top Bottom