Tumpongeze Raisi Magufuli kwa hili jambo alilolifanya.

Wenye matatizo wako wengi ,na wengine wanakufa kwa kukosa elfu 5 kama ilivyoandikwa.
Yeye alete sera itakayotengeneza nchi katka uchumi bora na amani sio sifa sifa.
Simkubali
 
Asante rais wangu ila nashauri huduma za Afya ziboreshwe ili huduma ziwe bei ya Chini
 
Kafanya jambo zuri.
Ila la muhimu zaidi ni kuboresha maisha na huduma za afya kila sehemu maana kumsaiia mtu mmoja mmoja siyo hoja kuna wengi sana wanaumwa wanashindwa pata matibabu kisa madawa na ma dr hakuna.
 
Neema Mwita Wambura alimwagiwa maji moto na Mume wake baada tu ya mume huyo kukasirika kwasababu Neema alichuma Mahindi mabichi na kuyapika bila kibali cha mumewe na baada ya hapo majeraha yamekua yakimsumbua…

Baada ya Rais Magufuli kumuona amefanya maamuzi ya kumpigia simu pamoja na kumuahidi matibabu pia kaahidi kusidaia familia ya mama huyo pindi atakapo kuwa kwenye matibabu.

Kishamsaidia pesa za matibabu na kiasi kingine kimepelekwa kuhudumia watoto wa huyo mama huo ni moyo wa kibinadamu kuguswa na mambo kama hayo hasa wanyonge wanapohangaika nampongeza sna mheshimiwa.
Not Fair Sizonje ... !!! we Rais wa wagonjwa wote tena wana halingumu kweli kweli
 
Not Fair Sizonje ... !!! we Rais wa wagonjwa wote tena wana halingumu kweli kweli
Mkuu imetokea nafas ukimuona yule mama hata wewe huchomoki kibaya katimuliwa analelewa na mama mwenzie halafu dini tofaut huoni kuna mantik hapo?
 
Back
Top Bottom