Tumpime huyu jamaa akili na kumsaidia

Tumpime huyu jamaa akili na kumsaidia

Stevenbee

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
365
Reaction score
449
Kuna first Year katika chuo cha MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY ali-be allocated katika awamu ya kwanza kabisa ya mkopo ya yale majina 3000+ na huyo Jamaa alipewa fedha ya ada yote na vitu vingine vingine

...kufika chuo akapata mdada second year ndio pale yule dada akamwambia wewe si umepangiwa mkopo?? acha ujinga Tule bata bhana
akatumia hela almost zote

Bahati mbaya yale majina ya mikopo yalibadilishwa kama mna kumbukumbu
Na jamaa akawa hayumo....Mpaka leo hii hajapata mkopo ingawa kuna majina wameleta round 2 chuo hayumo

Je ??? what next?? kwa huyu mtu
 
Kuna first Year katika chuo cha MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY ali-be allocated katika awamu ya kwanza kabisa ya mkopo ya yale majina 3000+ na
huyo Jamaa alipewa fedha ya ada yote na vitu vingine vingine ...kufika chuo akapata mdada second year ndio pale yule dada akamwambia wewe si umepangiwa mkopo?? acha ujinga Tule bata bhana
akatumia hela almost zote
Bahati mbaya yale majina ya mikopo yalibadilishwa kama mna kumbukumbu
Na jamaa akawa hayumo***Mpaka leo hii hajapata mkopo ingawa kuna majina wameleta round 2 chuo hayumo
Je ??? what next?? kwa huyu mtu
Hatareee
 
[emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji375][emoji375]
 
sijakuelewa kabisa hasa kwenye mantiki ya swali lako!!!!!!
 
Mleta mada unasoma chuo gani?!..umefikaje chuo kikuu kwa maswali km haya
 
Tumempima akili tayar..tumegundua akili zake ni kama za kwako kwa uthibitisho zaidi inabidi tukupime na wewe
 
sasa umpime akili kivipi na hayo mambo yote amefanya kwa kutumia akili? hapo akili iko nyingi tu bhana
 
Najua mmenielewa Ila nadhani katika issue ya kupima Akili ndio hamjanipata
Namaanisha kuwa Akili akiyokuwa nayo ukizingatia maamuzi bila kujari athari hivo yaaani,
swali hapo linahitaji alternatives ya kumsaidia kimawazo huyo ndugu yetu

chuo nasoma hicho hicho chuo
 
Tunajua huyo kijana ni wewe ila umekuja kuomba ushauri kivingine
 
Wew inakuhusu nini acha umbea fata kilichokupeleka Chuo sio kuchunguza maisha ya wenzio akila ada si yake kwani amekuomba mchango
 
Kijana mwenzangu rudi tuungane kulima rudi home jembe lipo linakusubiri mana hakuna namns
 
Najua mmenielewa Ila nadhani katika issue ya kupima Akili ndio hamjanipata
Namaanisha kuwa Akili akiyokuwa nayo ukizingatia maamuzi bila kujari athari hivo yaaani,
swali hapo linahitaji alternatives ya kumsaidia kimawazo huyo ndugu yetu

chuo nasoma hicho hicho chuo
Alipokuwa na pesa hakuja kuomba kusaidiwa kimawazo, akaona hako kamalaya kake ndo kila kitu, mwambie amuoe kabisa huyo malaya wake ili wapeane mawazo vizuri, sawa.
 
Hawezi kufanyia hivo kama sekondari kafaulu kihalali kwa kutumia akili yake, kama kabebwabebwa mpaka kaingia chuo basi anaweza akawa mpumbavu kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom